Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,278
Aisee huyu mpeni huo uteuzi tupumzike humu.
Juhudi za mh Rais katika ujenzi wa Taifa letu pamoja na uchapa kazi wake umeleta utulivu katika mioyo ya watanzania pamoja na matumaini katika nafsi zaoWatanzania ni watulivu toka kitambo wanachokikosa ni viongozi bora.Ila utulivu wao unachukuliwa kwa mzaha ndo maana nchi iko ovyo kila sekta.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[QUOTE="Daudi Mchambuzi, post: 46120477, member: 32466"]
Aisee huyu mpeni huo uteuzi tupumzike humu.
[/QUOTE]
[QUOTE="Daudi Mchambuzi, post: 46120477, member: 32466"]
Aisee huyu mpeni huo uteuzi tupumzike humu.
[/QUOTE]
Mimi siandiki kwa ajili ya kutafuta uteuziMpaka Mkuu akasema Stupid !! 😅 Lucas hajafahamu tu kuwa Nchi inagegenwa kisawasawa ! Yeye bado anaimba mapambio !! Lucas anachekesha sana !!Acha ujinga na uchawa usio na maana, jielekeze kwenye mijadala inayoendelea ya ubadhilifu /wizi uliofanywa na makada wa ccm ktk secta zote za umma
Wezi wa Mali ya umma watawajibishwa kwa mujibu wa Sheria bila kuonewa hurumaMpaka Mkuu akasema Stupid !! 😅 Lucas hajafahamu tu kuwa Nchi inagegenwa kisawasawa ! Yeye bado anaimba mapambio !! Lucas anachekesha sana !!
Chawa hadi masjid, astakafirulillah
Rais Samia anakubalika na kila kundi ,Ni Kama maji tu Usipoyanywa utayaoga tu,Chawa hadi masjid, astakafirulillah
Huyo mjamaa ana matatizo ya akili.Mpaka Mkuu akasema Stupid !! 😅 Lucas hajafahamu tu kuwa Nchi inagegenwa kisawasawa ! Yeye bado anaimba mapambio !! Lucas anachekesha sana !!
acha porojo ,Kama umezidiwa hoja Sema tu na kubaki msomajiHuyo mjamaa ana matatizo ya akili.
Ngoja tuone !!Wezi wa Mali ya umma watawajibishwa kwa mujibu wa Sheria bila kuonewa huruma
Vuta Subira tuNgoja tuone !!
Mimi Ni msema kweliKumbe ni wewe haya sawa bwana chawa
Tuliza akili utaelewa tuHapa ndio umeandika nini?
Okay !Vuta Subira tu
Umenena ukweli mkuuUlimi ikimaanishwa kauli ni kitu kimoja chenye nguvu sana...