Ulimbukeni wa wasichana

Vitu vingine kama vichekesho.

Hasa mtu kama wewe unayetoa ushauri kwa kutumia Huawei ya promotion. Kweli mtu anaweza kuhonga type yako hata zaidi ya elfu20?[emoji38][emoji13][emoji13]
 
Ukiona mwanamke anakuangalia sana either kakupenda au anajamba polepole....!, ,hivi viutafiti huwa vina ukweli mda mwingine..?
Embu wacha niulizie kama unachosema ni ukweli?
 
Vitu vingine kama vichekesho.

Hasa mtu kama wewe unayetoa ushauri kwa kutumia Huawei ya promotion. Kweli mtu anaweza kuhonga type yako hata zaidi ya elfu20?[emoji38][emoji13][emoji13]
Inahusu?
 
Hujaona wanaume wanaojiuza? Kuna shoga na wale marios. Kila mtu ni biashara
Unamaanisha nn? Au ndio biashara?
Hakuna mwanamke asie jiuza ila wanatumia njia tofauti kujiuza!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…