Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!


we kweli ulikuwa wapi?
ahahahaa siku zote hiz hukuwepo humu! Asprin mbona tumekosa meeengiii!
 
Last edited by a moderator:


Orite teacher!!!!!!!!!!!
 
 
Wanafunzi wanaitwa wanakwaya??? :mvutaji:
Hebu kuja kwanza....wachana na hii makitu ya kibabazi...
Nambari uno.....

 
nimeingia jamvini nikakutana na uzi huu na katika post hii nikajikuta nashawishika kusema neno..................

my dearest Kaunga biblia inasema hivi kiujazacho moyo ndicho ulichonacho na tena inasema ulipo moyo wako ndipo hazina yako ilipo. tukirudi kwenye ulimwenguni wa kupeana raha naweza kuitafsiri misemo hii ya bible kwamba jins mtu alivyo ujaza moyo wako ndivyo raha yako ilivyo jaa. ama niseme tena kwa maneno ya kihuni ( siku hizi nimekuwa bibi ujinga nimeacha) utamu ama raha ya penzi ni hisia zako za siku hiyo.

chonde chonde wadogo wasisome hapa
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu wangu mpenzi.

Heri ya mwaka mpya.

Nimekumisi sana ujue.:music:
 
Haka kamwandiko kakiandikiwa PM kanakuwaga katamu sana.

BTW umestaafu kucheza Volleyball??
sijastaafu kuchea bhana ila mume wa mitala anakaba sana..............
namshangaa sijui kwann hazoeleki bhana.

hata hivyo wahenga walisema wakati ni ukuta nikishindana nao nitaumia.................nimezeeka bhana!!!!!!!!!!!!
siku hizi najukuu mwenzio, muda wa kwenda kucheza ntaupatia wapi??
 
ahaahhahahha kaa kushoto!
watu wanataka direct entry ya jukwaa pendwa alah!
kwanza siku hz tunafundisha from priya noleji to new wani!
sasa mwanaunz kam antaka kunyesha vipaji vyake vya asili kuna ubaya?
eti Ennie hebu nitetee collegue!

Mwanafunzi lazima aonyeshe aliyonayo colleague nani anabisha?
hakuna spoon feeding ni mwendo wa competence based tu!!!!!
 
Bora ushukuru na kusema ahsante ukisema ufatilie maujuzi anapoyatoa waweza pata kisukari cha ghaflaaaa
UKIMCHUNGUZA SANA KUKU HUTAMLAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Bora ushukuru na kusema ahsante ukisema ufatilie maujuzi anapoyatoa waweza pata kisukari cha ghaflaaaa
UKIMCHUNGUZA SANA KUKU HUTAMLAAAAAAAAAAAAAAAAA

Nimekutamani. Waeza nipa maujuzi mapya nikamfanyie makaratee bibi yako?
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…