Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Nitasema asante kama nimefurahia.....nipo Babu,majukumu kidogo tu but am here,so close to you..lol
Ahaaa...safi sana! Babu anakuangalia kwa karibu ujue...anakufuatilia.

Babu huzeeki? lol
Maini huwa yanazeeka?

Babu ulikuwa wapi?
Nilikuwa kitandani natafakari, huyu kijana alimpa nini huyu binti mpaka aulizwe ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?

Uuchune tu babu ili uendelee kufaidi, ukiwa unaulizauliza mpenzi wako atakushangaa sana, na utandawazi wote huu, na mavitabu yote haya bado tu siku hizi tunaulizana tumepata wapi maujuzi????
Aisee....unamfundisha babu tabia mbaya siyo?..........babu na utandawazi wapi na wapi?

shkamoo ODM....khe!kwani tunakariri mapenzi?hakuna ubunifu jamani!!!!kama nitauliza hivyo labda ninawish kwa nini sikukupata mapemaaaaaaaaa?otherwise thx will be my WORD
Marahaba KANU............leo nimekupata black and white.......Raha jipe mwenyewe mwaego!......Raha haulizwi!!!!!

muhimu kufurahia ubunifu mengine utajiletea presha bure............... unatoa asante ya nguvu....... unamwambia kesho uje na style nyingine :bange: mambo mapya kila siku na staili mpya
Hehehehe....Bibi huyoooo bibi bibi huyo bibi bibi huyoooooo! Bibi raha haikopeshwi!

Mhhh babu unajua ukimpata anae Kukuna panapo washa utasema au uliza kituChochote.."Ulikuuwa wapi"?Sijui " nimemuona farasi" Wengine yoe tu ..Balaa umpate yule unawashwa mguu Yeye akukuna shingo utamuuliza"Umetoka wapi"? Mnnhhhhh
Aiseee kuna watu wanawafaidi wajukuu zangu mpaka babu anaona wivu LOL

Aisee.. sasa mkuu niPM yale ambayo hujayaelezea hapo juu
Hehehee.....ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?

Watu wengine huuliza lakini kwa sasa huwezi kuuliza maufundi yamejaa kwenye mitandao kibao kama hapa
BABU na mitandao wapi na wapi? Afu ugoro atakula saa ngapi?

hahahaha....recipe TIAI! Recipe machozi band, Recipe binti machozi..... RAHA HAINUNULIWI.......RAHA HAIFUNDISHWI........RAHA KUJINAFASI

BAbu anarudi kitandani.

Wajukuu mlikuwa wapi siku zote?
Hivi mnahisi huyu binti alipewa kitu gani mpaka akauliza ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?
 
Sasa je! lazima umuulize, siku zote anavurunda akiibuka siku moja na kufanya maajabu lazima ushangae na kumuuliza alikuwa wapi siku zoooote kufanya hayo?
 
Aliguswa G sport
 
Sasa je! lazima umuulize, siku zote anavurunda akiibuka siku moja na kufanya maajabu lazima ushangae na kumuuliza alikuwa wapi siku zoooote kufanya hayo?
Kwikwikwi..........nimecheka mpaka baaaaasi!.....BB we noma.....nimekukubali. Kwahiyo bora endelee kujishoboboa na maujinga yake ya siku zote?

Aliguswa G sport
G Sport ndio Ikulu ya wapi vile?...........Hebu kule usimzeeshe babu wa bibi.
 
Khaa huyu nae hana maadili kama chauro,shurti kusema asante si twajifunza kila siku babu nini kumuuliza mwenzako alikuwa wapi?
 
Kwikwikwi..........nimecheka mpaka baaaaasi!.....BB we noma.....nimekukubali. Kwahiyo bora endelee kujishoboboa na maujinga yake ya siku zote?

G Sport ndio Ikulu ya wapi vile?...........Hebu kule usimzeeshe babu wa bibi.
sasa babu kama hujui unauliza nini naona uzee unakusumbua inabidi nikutoe nje ukaote jua
 
hakuna kuliza wala nini
mi ikitokea naulizwa ndo utakuwa mwanzo wa mwisho wangu wa kukufanyia kitu kipya
and you know what that means.........
lakini babu hivi leo hii bibi akija na staili mpya ya kukiss mkiwammegeuza vichwa nywele chini videvu juu
utauchukuliaje huo ubunifu?
just asking
 
mmmh!haya babu naona umekuja na nitoke vipi..........................
narudi baadae kidogo,
Hivi ugoro wako ulishaisha eeeeeeh..????
tatizo ukishakula hayo maugolo bibi unampa sana tabu ya kudeki kila wakati,
mate wayatema tema kila sehemu lol...........
 
mie siachi ndio kwanza nazidisha halafu namwambia kama hapendi aniambie hapohapo sio asubiri utamu mwishoni ndio aibuke na maswali
 
Hommie...kwa taarifa za udaku, itakuwa mjamaa alimpa kitu gani mpenzi wake au alipewapo nini??? najaribu kusome pembeni ya mistari
 

Nothing is permanent except "CHANGE".....Always remember this!!
 
...duh, ama maumivu yakizidi ni bora kumuona dakitari.
 
Babu ubunifu lazima uwepo jamani .. ....
Lala Pumzika babu ..umeshafanyiwa massage ?
 
Asee....
Hivi ukipewa kitu si unaondoka nacho? Asee......
Inafurahisha sana aisee...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…