GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,122
- 2,263
Huyu dogo, Ansu Fati,ana umri wa miaka 16. Tayari anachezea Barcelona na amefunga goli na kuwa mchezaji mdogo kupita wote kuwahi kufunga goli pale Barca.
Sasa usiniulize nilikuwa nafanya nini nikiwa na miaka 16. Ninachokumbuka nilikuwa bingwa wa kuangua zambarau. [emoji28][emoji28][emoji2365]
Sasa usiniulize nilikuwa nafanya nini nikiwa na miaka 16. Ninachokumbuka nilikuwa bingwa wa kuangua zambarau. [emoji28][emoji28][emoji2365]