Ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza?

Ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza?

Utotoni tu kipindi tunapika mchanga na makopo ya blue band eti wali!badae mnachepuka kwenye pagale miti mnarudi kuchochea wali uive(mchanga)miti tena,aloo ikawa ndo tabia tuko vitoto hapo.
Housegirl ndo alinipa yoote nikashusha mzigo km mara 10 hivi.
Mbayaaa ila chuck sasa na tako duuh
 
Em tupe experience mkuu?

Ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza?

Je ilikuwa ni Club?
Kanisani?
Mitandao ya kijamii?
Kwenye usafiri?

Na ilikuaje mpaka mkaanza
Yupi unaemzungumzia hapa?
 
Mimi wakati naanza maisha nilibahatika kupanga chumba na sebule huko maeneo ya rombo mkuu na pembeni ya chumba hicho kulikuwa na nyumba kubwa ambayo alikuwa akiishi mwenye nyumba na familia yake. Kwa kipindi cha miezi sita nilipokuwa hapo Nilianzisha uhusiano na binti mrembo sana wa mwenye nyumba na hadi sasa ndo mke wangu wa ndoa na tuna watoto wawili sasa.
 
Eh hongereni naona watu imeishia washakua mke na mume
Mie huyu bwn haahha dahh maisha safari nyie Mungu atusaidie mana hadi sasa siamini kwa kuwa nilikuwa napinga sana kutoka na rafiki wa Bwana'ako
Ila ndo niko nae saivi

Nilikuwa katika husiano bora liende tu kusogeza siku na kaka mmoja hv kwanini nisikutane na rafk ake na moyo ukafanya paa..was like who is this guy..nyiee🙌🏽
Story ni ndefu sana nisiwachoshe ila ndo hivyo, niko nae saivi
 
Back
Top Bottom