Ulikutana na Changamoto gani wakati wa Uchumba (kabla ya Ndoa)?

Sisi enzi hizo tulikipitia bila kashikashi nyingi. Sasa tuna mwezi mmoja tangu tuoane na wifi yako.
 
Wapangie zam usije mfichia ajaye ukute kumbe hana hata choo kwao ukajutia kuolewa. Pia kumbuka, ukiisha mpa mkono wa pete basi milango na madirisha yote umefungiwa kwani unakuwa mali ya mtu. Ndoa ni jela mtu hujipeleka mwenyewe kwa bwana Jela
 
Yaaniiii ni shetani tuu huyu,.
IMG-20190709-WA0003.jpg
 
Wakuu heshima kwenu!!
Wakati wa uchumba huwa una changamoto si mchezo!!

Sidhani kama kuna mtu humu, ke au me alivuka hapo kirahisi rahisi.
Mi nakumbuka siku moja kabla ya engagement kidogo tuachane, tena kwa sababu ndogo tu...

Changamoto nyingine ni maneno ya watu!! Duh kuna watu wanajua kuongea uongo, unasikia jambo kumhusu mpenzi wako, usipokuwa mwangalifu unaachana huko..
Najiuliza ni kwanini wakati mpo kawaida maneno hakuna, ila mkianza kufanya iwe rasmi lazima yaibuke ya kila namna.

Mimi kuna watu walidiriki kupiga simu kabisa kwa kuficha majina yao kunitahatharisha nisimwoe kabisa huyu mwanamke, ni malaya-hapa utaambiwa watu zaidi ya 10 waliokwisha mkula, alishatoa mimba kibao mpaka kizazi hana... ukiwa mwepesi unaacha, na mengine mengi!

Baadae nikaja kugundua kila uchumba unachangamoto zake, kuna kijana walituomba tusimamie ndoa yao, kwenye harakati za maandalizi walipitia wakati mgumu, jamaa alikuwa anaandikiwa msg za kutosha kuwa mke wake mtarajiwa ni single mother, anamficha na blaa blaa kibao...

Hebu shirikisha, je wewe kabla ya kuoa/kuolewa! Kipindi cha uchumba ulikutana na changamoto gani?
 
Uchumba unamambo mengi mm niliwah nilikutana na bint mmoja alikua amemalza chuo mzumbe sasa binafsi nilimpenda kweli na nilidhamiria kumuoa mungu akijalia sasa ckutaka ajue kama mm nimekula kitabu mpaka kitabu kikalala so ikabidi nimfiche mwanzoni najifanya mchimba chumvi nikoniko tu mchafumchafu coz ckutaka anipende kwaajili ya elimu yangu ila binti akawa ananiletea maringo anani ignore mi namwangalia tu ila baada ya kushuudia mengi ikabidi ckumoja nimchane halihalisi nakumbuka ilikua j2, alibaki mdomo wazi nikaona baada ya hapo ana anza shobo shobo zikazidi wakati huo mm sina tena mpango nae akaja akaniambia kua ananipenda mi namwangalia tu nikasema hebu ngoja nimkubalie nione, nikawa namuobserve alikua anatabia kila mara anamsifia tu ex boyfriend wake wa chuo mara hvi mara vile mara alikua ananisindikiza kununua chipsi mi namuangalia tu sasa nilichomfanyia hatanisahau maishani mwake nilimtumia kisawasawa for almost 2 solid years nikamtema.
By that time yy ndo alikua tayar amekufa ameoza kwangu.
You Get what you deserve.
 
KWa mwandiko huu sidhani kama kuna Elimu imelala
 
Duh!!
 
Hizo tekniki za kwenye movie za kifilipino

Back
Top Bottom