Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,656 Apr 20, 2016 #41 Evelyn Salt said: Ha ha ha kama nakuona shati limejaa upepo mgongoni limekua kama puto afu umechomekea mpendwa tukikutana upo Kwenye hali hiyo nakukimbia Click to expand... Halafu nina briefcase moja kubwa hivi, ndani nimeweka maji na gazeti la udaku. Na mchina mmoja unajaa mkononi. Utanitaka mbona.
Evelyn Salt said: Ha ha ha kama nakuona shati limejaa upepo mgongoni limekua kama puto afu umechomekea mpendwa tukikutana upo Kwenye hali hiyo nakukimbia Click to expand... Halafu nina briefcase moja kubwa hivi, ndani nimeweka maji na gazeti la udaku. Na mchina mmoja unajaa mkononi. Utanitaka mbona.
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,511 Apr 20, 2016 #42 HOPECOMFORT said: Alafu ukute mwanaume mwenye makalio makubwa avae trouser ya kitambaa- balaa kabisa tena iwe ya kushonesha!!! Mmmh Click to expand... Hahahahhaahhaa
HOPECOMFORT said: Alafu ukute mwanaume mwenye makalio makubwa avae trouser ya kitambaa- balaa kabisa tena iwe ya kushonesha!!! Mmmh Click to expand... Hahahahhaahhaa
kui JF-Expert Member Joined Mar 2, 2009 Posts 6,467 Reaction score 6,500 Apr 20, 2016 #43 Paulo Sergio De Souz said: Halafu nina briefcase moja kubwa hivi, ndani nimeweka maji na gazeti la udaku. Na mchina mmoja unajaa mkononi. Utanitaka mbona. Click to expand... ππ Halafu unatembea ule mwendo wa kurusha bega moja na kuvuta hatua.
Paulo Sergio De Souz said: Halafu nina briefcase moja kubwa hivi, ndani nimeweka maji na gazeti la udaku. Na mchina mmoja unajaa mkononi. Utanitaka mbona. Click to expand... ππ Halafu unatembea ule mwendo wa kurusha bega moja na kuvuta hatua.
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,656 Apr 21, 2016 #44 kui said: ππ Halafu unatembea ule mwendo wa kurusha bega moja na kuvuta hatua. Click to expand... Haha. Nitakuombea ban wewe, shauri yako.
kui said: ππ Halafu unatembea ule mwendo wa kurusha bega moja na kuvuta hatua. Click to expand... Haha. Nitakuombea ban wewe, shauri yako.
Weltmeisterschaftung JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 364 Reaction score 250 Apr 21, 2016 Thread starter #45 werrason said: Mkuu, hili jina lako gumu hivi umelitoa wapi? na lina maana gani au the story behind? Click to expand... hatari sana....
werrason said: Mkuu, hili jina lako gumu hivi umelitoa wapi? na lina maana gani au the story behind? Click to expand... hatari sana....
Weltmeisterschaftung JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 364 Reaction score 250 May 20, 2016 Thread starter #46 manuu said: Ila huu unao itwa usafi kwa vijana wengi wa kuime unapita mipaka, Kijana ili aonekane msafi anapaka powder, sijui anatinda nyusi eti unakuta baba zima eti amepanga foleni asuguliwe miguu na kukutwa kucha tena saloon za kina dada zetu.. Click to expand... ila mimi kwa sasa nipo mbali sana kulinganisha na wao wenye swagger hizo za kijanja
manuu said: Ila huu unao itwa usafi kwa vijana wengi wa kuime unapita mipaka, Kijana ili aonekane msafi anapaka powder, sijui anatinda nyusi eti unakuta baba zima eti amepanga foleni asuguliwe miguu na kukutwa kucha tena saloon za kina dada zetu.. Click to expand... ila mimi kwa sasa nipo mbali sana kulinganisha na wao wenye swagger hizo za kijanja
jikeshupa R I P Joined May 10, 2016 Posts 500 Reaction score 398 May 20, 2016 #47 Pole mkuu na hongera pia
Lepanto JF-Expert Member Joined Jan 5, 2015 Posts 1,162 Reaction score 500 May 20, 2016 #48 Paulo Sergio De Souz said: Halafu nina briefcase moja kubwa hivi, ndani nimeweka maji na gazeti la udaku. Na mchina mmoja unajaa mkononi. Utanitaka mbona. Click to expand... unanikumbusha enzi za suruali za tokyo, bioct and legs
Paulo Sergio De Souz said: Halafu nina briefcase moja kubwa hivi, ndani nimeweka maji na gazeti la udaku. Na mchina mmoja unajaa mkononi. Utanitaka mbona. Click to expand... unanikumbusha enzi za suruali za tokyo, bioct and legs
Bill of Quantity JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 1,233 Reaction score 407 May 24, 2016 #49 Weltmeisterschaftung said: ila mimi kwa sasa nipo mbali sana kulinganisha na wao wenye swagger hizo za kijanja Click to expand... Mkuu samahani kidogo Naomba msaada wako angalau niweze kupata kazi maeneo yako unakopatia tonge. Nutakutumia CV yangu jioni, kwa sasa natumia simu
Weltmeisterschaftung said: ila mimi kwa sasa nipo mbali sana kulinganisha na wao wenye swagger hizo za kijanja Click to expand... Mkuu samahani kidogo Naomba msaada wako angalau niweze kupata kazi maeneo yako unakopatia tonge. Nutakutumia CV yangu jioni, kwa sasa natumia simu