Ed edd n eddy
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 207
- 244
Mkuu ni kweli,tulikua wadogo wote na inshort hata sielewi kwanini ila tulipendana..na alifariki kwa uzazi.anyway life still goes onsasa bro ilipanga au maana naona ni mapema kinoma

Infact Nipo nae Mpaaka sasa tuna watoto Wawili Mungu muache kama alivyonipe story mkuu mitihani gani ilikusumbua? na vipi bibie uko nae bado?