Ulijinasuaje kutoka kwa mpenzi ambaye ni mshirikina?

Habari za machana wana MMU. Ni matumaini yangu makubwa kwamba wikiendi yako inaenda vyema sana. Kwa wale ambao wikiensi haiko vyema leo kwa sababu unaumwa au huna pesa n.k piga moyo konde na uwe na imani kwamba kesho yako itakuwa nzuri sana. Kitu cha msingi ni kutokukata tamaa tu.

Kama kichwa cha uzi huu kisemavyo hapo juu ni kwamba siku mbili zilizopita niliona meseji kwenye simu ya shemeji yenu akiwa anachati na sangoma.

Moja ya meseji niliyoiona ni kwamba atafute kitambaa cheupe akitumie kujisugulia wakati wa kuoga halafu nami wakati wa kuoga anipatie nijisugulie.

Kiukweli nilipigwa na butwaa sana kwani sijawahi kuwaza wala kufikiria kwamba huyu shemeji yenu anapenda ushirikina wakuu.

Nilipomuuliza kuhusu hilo jambo sikupata majibu yaliyonyooka na mujarabu wakuu. Nilibaki namshangaa na bumbuwazi sana kwani kama amekuwa akifanya hivyo bila mimi kujua chochote ni dhahiri kwamba atakuwa amenifanyie ushirikina mwingi sana ikiwa ni pamoja na kunilisha mambo ya ajabu sana wakuu.

Je ulishawahi kukutana na hali kama hiyo?

Je ulijinasuaje kutoka kwa mpenzi/mke ambaye anapenda ushirikina?

Je nifanyeje nami nijue kama nipo salama wakuu?
Unajua Mola wetu muadilifu sana, ukimpata mke au mpenzi mshirikina ujue na wewe una jambo mfano wake aidha wewe ni mzinzi au mshirikina kama yeye.

Pili, watu wengi ushirikina hawaujui, wanafikiri ushirikina ni matunguli, hsts kupenda kufanys RIA nayo ni aina ya USHIRIKINA.

Tatu, nasaha zangu kwenu vijina ni kuwa kabla hujamtuhumu fulani hakikisha na wewe umeslimika na hicho kwa asilimia mia.

Nne, hakuna dhambi kubwa kuzidi USHIRIKINA.

Nipo...
 
Kwa upande wangu yule manzi hakuwa mshirikina, ila alikuwa kivuruge balaa.

Kuna siku alinitembelea tukashinda pamoja siku nzima, jioni akaondoka. After 2 weeks alikuja tena, wakat tunajiandaa na mechi nikatoa zana. Kumbe last time alivyoondoka kuna condom moja ilibaki, akawa anataka tuanze kuitumia ile kabla ya hizi mpya. Binafsi sikuwa naikumbuka wala sikujua iko wapi.

Ukaibuka ugomvi kwamba nilichepuka, kuna mtu nimeitumia nae, alipekua gheto, kwenye kabati na droo siku hiyo, bahati nzuri akaiona. Akawa anaikagua (kumbe that day alivyoondoka aliacha kaichora na peni pembeni ). Ilo likapita.

Siku nyingine nakumbuka ilikuwa jumapili akaibuka tena gheto, wakati mechi inataka kuanza akagundua nimeshave maeneo ya chini. Demu akaniambia kwa muonekano utakuwa umenyoa kati ya alhamis au ijumaa, niambie nani alikuja gheto humu ( na kweli nilikuwa nimenyoa alhamis). Nikamkazia, kuwa nimenyoa kwa usafi wangu tu, wala hakuna mtu aliyekuja humu. Tulizozana kiasi hadi anaondoka kanuna.

Cha ajabu eti kuna siku tumekaa kwenye kiti, ameniegamia huku tunaangalia movie kwenye laptop yake, ghafla kwenye cm yake ikaingia text (ikajidisplay kwenye notification bar) "Baby utakuja kulala kwangu leo?" Akajaribu kuislide itoke, akajikuta ameifungua. Akitaka kuplace back button, cm imestack. Me namwangalia tu. Tukaendelea kuangalia movie kimya kimya.

Then ananiuliza, unafikiria nn mbona upo kimya? Nikamjibu ukiondoka hapa ndio imetoka hiyo, nothing more between us.

Ikaisha hivyo.
 
Kwa uzoefu, wanawake ukiona anakuganda sana na shutuma nyingi za kuwa wewe sio mwaminifu wengi wao ndo unakita anachikidhania unafsnya ndo anachofanya na hii ni mbinu kubwa sana ya wao kujiweka katika mazingira uone ni mwaminifu kwako na anakupenda kumbe sivyo.
 
Sure mkuu. Alikuwa miyeyusho tu.
 
Habari za machana wana MMU. Ni matumaini yangu makubwa kwamba wikiendi yako inaenda vyema sana. Kwa wale ambao wikiensi haiko vyema leo kwa sababu unaumwa au huna pesa n.k piga moyo konde na uwe na imani kwamba kesho yako itakuwa nzuri sana. Kitu cha msingi ni kutokukata tamaa tu.

Kama kichwa cha uzi huu kisemavyo hapo juu ni kwamba siku mbili zilizopita niliona meseji kwenye simu ya shemeji yenu akiwa anachati na sangoma.

Moja ya meseji niliyoiona ni kwamba atafute kitambaa cheupe akitumie kujisugulia wakati wa kuoga halafu nami wakati wa kuoga anipatie nijisugulie.

Kiukweli nilipigwa na butwaa sana kwani sijawahi kuwaza wala kufikiria kwamba huyu shemeji yenu anapenda ushirikina wakuu.

Nilipomuuliza kuhusu hilo jambo sikupata majibu yaliyonyooka na mujarabu wakuu. Nilibaki namshangaa na bumbuwazi sana kwani kama amekuwa akifanya hivyo bila mimi kujua chochote ni dhahiri kwamba atakuwa amenifanyie ushirikina mwingi sana ikiwa ni pamoja na kunilisha mambo ya ajabu sana wakuu.

Je ulishawahi kukutana na hali kama hiyo?

Je ulijinasuaje kutoka kwa mpenzi/mke ambaye anapenda ushirikina?

Je nifanyeje nami nijue kama nipo salama wakuu?

Wanawake wanatuloga sasa kwenye mapenzi kama hujui hasa akigundua hana maajabu yeyote na wewe hausomeki,kwahiyo hapo anakwenda kwa sangoma kuongeza mitano tena!hata sisi tunao comment hapa tumelogwa ila sio kivileee
 
Sangoma keshafanya yake

Hapo dawa Ni maombi tu huwezi kumkimbia mchawi kwa kuwa hujamtolea mahari muache endelea na maisha yako ila fanya maombi kwa Sana.
 
Habari za machana wana MMU. Ni matumaini yangu makubwa kwamba wikiendi yako inaenda vyema sana. Kwa wale ambao wikiensi haiko vyema leo kwa sababu unaumwa au huna pesa n.k piga moyo konde na uwe na imani kwamba kesho yako itakuwa nzuri sana. Kitu cha msingi ni kutokukata tamaa tu.

Kama kichwa cha uzi huu kisemavyo hapo juu ni kwamba siku mbili zilizopita niliona meseji kwenye simu ya shemeji yenu akiwa anachati na sangoma.

Moja ya meseji niliyoiona ni kwamba atafute kitambaa cheupe akitumie kujisugulia wakati wa kuoga halafu nami wakati wa kuoga anipatie nijisugulie.

Kiukweli nilipigwa na butwaa sana kwani sijawahi kuwaza wala kufikiria kwamba huyu shemeji yenu anapenda ushirikina wakuu.

Nilipomuuliza kuhusu hilo jambo sikupata majibu yaliyonyooka na mujarabu wakuu. Nilibaki namshangaa na bumbuwazi sana kwani kama amekuwa akifanya hivyo bila mimi kujua chochote ni dhahiri kwamba atakuwa amenifanyie ushirikina mwingi sana ikiwa ni pamoja na kunilisha mambo ya ajabu sana wakuu.

Je ulishawahi kukutana na hali kama hiyo?

Je ulijinasuaje kutoka kwa mpenzi/mke ambaye anapenda ushirikina?

Je nifanyeje nami nijue kama nipo salama wakuu?
Nicheki PM nikusaidie
 
Mpaka hapo dawa imekosa nguvu maana umeshajua atakachokifanya. Mfungishe virago tu.
 
Back
Top Bottom