jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
eeeh mungu nisaidie nishike ata milion 2 cash mkononi
VICOBA = Village Commercial Bank...Jiunge kikoba au Sacco's pia michezo ya Kila siku
Nipo kwenye mchezo naweka 20,500 Kila siku sometimes nacheza majina hata 3
Siku nikipokea hela napeleka kikoba
Tumevunja juzi piga hesabu
Mwaka huu mwendo ni ule ule namuomba Mungu sana ila najua inawezekana tu kwake in five years to come niwe na m 50 hivi
King ni hivi Sacco's zipo za maana hazina shida usisikilize maneno ya chadema mkuuVICOBA = Village Commercial Bank...
Nakushauri bora pesa yako ukainvest sehemu au uingie partnership au ununulie ata shares kama una knowledge na hivyo vitu kuliko uko Kwenye VICOBA na masaccos,uko ujanja mwingi watu wanacheza na % tu..
Uwe unatuomba msaada siku nyingine ukikwama rejesho..mabaria hatuna hiyana.tunabadilishana tu productIla kusave Kuna itaji moyo Kuna kipindi natembea uchi maana mchezo wa Kila siku hata chupi unashindwa kununua.ila chupi kitu gani bwana???
VICOBA = Village Community BankingVICOBA = Village Commercial Bank...
Nakushauri bora pesa yako ukainvest sehemu au uingie partnership au ununulie ata shares kama una knowledge na hivyo vitu kuliko uko Kwenye VICOBA na masaccos,uko ujanja mwingi watu wanacheza na % tu..
Uhuuuu huwa tunadanga balaa ila Mimi sio mkopo ni savings zangu so Sina stressUwe unatuomba msaada siku nyingine ukikwama rejesho..mabaria hatuna hiyana.tunabadilishana tu product
Benki ukiwa na sim banking unazivuta tu kununulia vocha daahFungua ac bank yoyote weka hela kidg kidg
Usiwe na hio app kama unahitaji kuweka akiba/unaishi kwa bajetiBenk ukiwa na sim baking unazivuta tu kununulia vocha daah
Kwanini usiweke bank?Jiunge kikoba au Sacco's pia michezo ya Kila siku
Nipo kwenye mchezo naweka 20,500 Kila siku sometimes nacheza majina hata 3
Siku nikipokea hela napeleka kikoba
Tumevunja juzi piga hesabu
Mwaka huu mwendo ni ule ule namuomba Mungu sana ila najua inawezekana tu kwake in five years to come niwe na m 50 hivi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]eeeh mungu nisaidie nishike ata milion 2 cash mkononi