Ulifanyaje ulipokutana na situation kama hii?

Kuna binti mmoja nilikua nadate nae. Mimi ni wale masela ambao hatupendi kuombwa ombwa ela. Kama manzi nimemuelewa hua sisubiri awe ananiomba ela. Napendaga kutoa tu ela bila kuombwa.

Sasa baada ya wiki mbili za ktk mahusiano akawa analalamika kuhusu vifurushi vimepanda bei na haingii whatsapp mara kwa mara. Basi nikajua tu huyu ana njaa. Jioni yake fasta nikamtumia elfu 50. Akashukuru akatuma vikopa kopa vingi tu maisha yakasonga.

Baada ya siku mbili akanitext kuna dharura imetokea kaona gauni na mkoba anataka nimtumie elfu70 akanunue, na ameshampa ahadi mpaka muuzaji kua asiviuze ili yeye akavichukue. Nikamuuliza ile elfu50 niliyomtumia kaifanyia nini. Akadai mama yake alikua anaumwa akamtumia. Nikaona sio kesi. Nikamtumia elfu60 nikamuambia elfu 10 iliyobaki utaongezea. Akasema sawa.

Kweli gauni alinunua. Lakini sasa imekua kero kila wakati anatext kukumbushia ile elfu10 aliyoongezea anataka nimtumie maana aliharibu mahesabu yake. Nimemuambia aifate kwangu hapa leo.

NB: Sijamla bado, ingawa nilikua na nia ya kuweka kambi. Nataka leo akifika hapa home nile mzigo, adake 10 lake nimpotezee mazima.
Sas c bora ungeenda Riverside tu
 
Jeuri yake n kwa sababu hujampanda bdo. Ukishatindua inakua kama siagi kwenye moto. Hakuna maajabu tena
 
Kuna binti mmoja nilikua nadate nae. Mimi ni wale masela ambao hatupendi kuombwa ombwa ela. Kama manzi nimemuelewa hua sisubiri awe ananiomba ela. Napendaga kutoa tu ela bila kuombwa.

Sasa baada ya wiki mbili za ktk mahusiano akawa analalamika kuhusu vifurushi vimepanda bei na haingii whatsapp mara kwa mara. Basi nikajua tu huyu ana njaa. Jioni yake fasta nikamtumia elfu 50. Akashukuru akatuma vikopa kopa vingi tu maisha yakasonga.

Baada ya siku mbili akanitext kuna dharura imetokea kaona gauni na mkoba anataka nimtumie elfu70 akanunue, na ameshampa ahadi mpaka muuzaji kua asiviuze ili yeye akavichukue. Nikamuuliza ile elfu50 niliyomtumia kaifanyia nini. Akadai mama yake alikua anaumwa akamtumia. Nikaona sio kesi. Nikamtumia elfu60 nikamuambia elfu 10 iliyobaki utaongezea. Akasema sawa.

Kweli gauni alinunua. Lakini sasa imekua kero kila wakati anatext kukumbushia ile elfu10 aliyoongezea anataka nimtumie maana aliharibu mahesabu yake. Nimemuambia aifate kwangu hapa leo.

NB: Sijamla bado, ingawa nilikua na nia ya kuweka kambi. Nataka leo akifika hapa home nile mzigo, adake 10 lake nimpotezee mazima.
Duh
Eti ameharibu mahesabu yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Bora umejishauri mwenyewe Kwenye Uzi wako.
Lakini nakwambia ukishaonja hyo papuchi Yake walahi hutoweza kuachana naye.We jichanganye tu.
 
Una moyo[emoji5][emoji5]
Yaani mwanamke akishanipa visingizio cjui mama alikuwa anaumwa mara kaharibu cjui nn. Hlf anawezake kuweka oda ya kitu pasipo na hela.
Huyo kaona bajeti yake ni muhimu kuliko yako??
Hela za gafla hivyo huwa "SINA"
 
Nyoooolo sasa maneno matatu si ndo faida? Tuseme uko tiyari kumuacha vip kichwa cha chini kiko tiyari pia?
Hahahaaa nimemuacha rasmi leo hii kwa usalama wa pesa zangu... Yani nimejiona kama nimeutua mzigo mzito saaana
 
Back
Top Bottom