Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,352
- 6,984
Kuna binti mmoja nilikua nadate nae. Mimi ni wale masela ambao hatupendi kuombwa ombwa ela. Kama manzi nimemuelewa hua sisubiri awe ananiomba ela. Napendaga kutoa tu ela bila kuombwa.
Sasa baada ya wiki mbili za ktk mahusiano akawa analalamika kuhusu vifurushi vimepanda bei na haingii whatsapp mara kwa mara. Basi nikajua tu huyu ana njaa. Jioni yake fasta nikamtumia elfu 50. Akashukuru akatuma vikopa kopa vingi tu maisha yakasonga.
Baada ya siku mbili akanitext kuna dharura imetokea kaona gauni na mkoba anataka nimtumie elfu70 akanunue, na ameshampa ahadi mpaka muuzaji kua asiviuze ili yeye akavichukue. Nikamuuliza ile elfu50 niliyomtumia kaifanyia nini. Akadai mama yake alikua anaumwa akamtumia. Nikaona sio kesi. Nikamtumia elfu60 nikamuambia elfu 10 iliyobaki utaongezea. Akasema sawa.
Kweli gauni alinunua. Lakini sasa imekua kero kila wakati anatext kukumbushia ile elfu10 aliyoongezea anataka nimtumie maana aliharibu mahesabu yake. Nimemuambia aifate kwangu hapa leo.
NB: Sijamla bado, ingawa nilikua na nia ya kuweka kambi. Nataka leo akifika hapa home nile mzigo, adake 10 lake nimpotezee mazima.