Ulifanyaje ulipokutana na situation kama hii?

Kuna binti mmoja nilikua nadate nae. Mimi ni wale masela ambao hatupendi kuombwa ombwa ela. Kama manzi nimemuelewa hua sisubiri awe ananiomba ela. Napendaga kutoa tu ela bila kuombwa.

Sasa baada ya wiki mbili za ktk mahusiano akawa analalamika kuhusu vifurushi vimepanda bei na haingii whatsapp mara kwa mara. Basi nikajua tu huyu ana njaa. Jioni yake fasta nikamtumia elfu 50. Akashukuru akatuma vikopa kopa vingi tu maisha yakasonga.

Baada ya siku mbili akanitext kuna dharura imetokea kaona gauni na mkoba anataka nimtumie elfu70 akanunue, na ameshampa ahadi mpaka muuzaji kua asiviuze ili yeye akavichukue. Nikamuuliza ile elfu50 niliyomtumia kaifanyia nini. Akadai mama yake alikua anaumwa akamtumia. Nikaona sio kesi. Nikamtumia elfu60 nikamuambia elfu 10 iliyobaki utaongezea. Akasema sawa.

Kweli gauni alinunua. Lakini sasa imekua kero kila wakati anatext kukumbushia ile elfu10 aliyoongezea anataka nimtumie maana aliharibu mahesabu yake. Nimemuambia aifate kwangu hapa leo.

NB: Sijamla bado, ingawa nilikua na nia ya kuweka kambi. Nataka leo akifika hapa home nile mzigo, adake 10 lake nimpotezee mazima.
Hatari sana
 
Huyo mpige kipigo cha mbwa mwizi.wamezidi hawa panya
 
Sasa km upo km gogo kwann nisipunguze nakupa ya nauli tu
 
Me nilikua na dem haniombi kabsa ela sasa mimi nilikua najiongeza nampa sana hela hizi ten ten na nilifanya hivi kumuonesha namjali na ninampenda.. alikua ananikubali sana ila badae akaona mimi fala akawa ananiomba nikimpa hata asante asemi!!

Yule dem akabadilika nahisi aligundua mimi spindrift kwake, mfano kuna siku asubui alinitumia sms bila hata salam anasema "nashida na elfu 10 naomba unitumie saiv"

Nikafuta namba na kumpiga tofali, niligundua hana adabu na alikua anaona kama vile mimi sijiwezi kwake.

Cha muhim nilimla hela zangu hazikuenda bure.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba nina shida na elfu 10 ntumie sasa hiviii
 
😁😁😁😁 wacha nicheke tu kwakweli
 
Akadai mama yake alikua anaumwa akamtumia. Nikaona sio kesi. Nikamtumia elfu60...

Bro piga chini ibaki story hapo shauri yako...usijee ukatutoleaa Ushuhuda
 
Mpe hela mwanamke weweeeeeeeee..unataka nani ampe sasa??
 
Back
Top Bottom