Ulifanya haya?

Nawe ulikua unatumia njia gani kukumbuka?

Bahati mbaya au nzuri nilikuwa situmwi tumwi sana unajua tena familia za Viongozi waandamizi wa kiselikari wakati huo wa Nyerere mara nyingi nilikuwa naona wanaleta vitu home wakati huo Mzee akiwa ......Mbeya pamoja na mzee kingunge mtaa mmoja unaitwa uzunguni.
 
Ilikuwa na msaada sana hiyo mbinu sasa miaka ya sasa unaweza mwandikia mtoto kwenye karatasi ama ukifika dukani mwenye duka anibep,unampa mtoto namba.
 
Bibi yangu alikuwa akinituma anatema mate chini anase yakikauka ntamtambua we nilikuwa natoka mbio kuwahi mate yasikauke na mate yenyewe kapuliza tu kwenye mchanga yani kafanya puuu sasa hata hayaonekani lkn kwa utoto wangu nilikuwa sijui ni njia ya kunikimbiza tu kuwai kurudi, leo shika na fimbo bado toto litanda dukani uku linacheza na chenchi linaacha huko dukani yani kweli akheri zamani,
 

Wakishua siyo hahahahaaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kitambo sanaa
Akitokea mtu akakuongelesha mama yangu umepoteza kilakitu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…