itara
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 2,240
- 1,576
Dah umenikumbusha kitambo
Kiukweli mi nikikuwa mbovu mno kweny madawa hasa haya ya binadamu, kwa hio nikiagizwa kroloquin au asprin au paracemolt au penivi.. Kisha na idadi yake bila kusahau sukari nusukilo na sabani vipande vitatu.. Na vibirit vitatu.. Na big jii.. Na skonzi na sigara nyota nne na sm na sport za babu akili ilikuwa ina load mno ilibidi hata nisalimiane na watu