Ulieonyesha jeuri hili hapa jingine..

Ulieonyesha jeuri hili hapa jingine..

Puffader

Member
Joined
May 8, 2013
Posts
44
Reaction score
9
1. Chagua namba zozote mbili tofauti
2.Zidisha mojawapo ya hizo namba kwa 2
3.Jumlisha 5 kwenye jibu
4.Zidisha jibu ulilopata kwa 5
5.Jumlisha namba ile ya pili uliyoiacha mwanzo kwenye hilo jibu ulilopata
6.Toa 4 katika jibu la hapo juu
7.Toa tena 21
Jibu lake ni namba mbili ulizozichagua! Amazing!
Niambie kwa nini inakuwa hivyo?
 
sababu ni kwamba kwa mfano tuseme umechagua namba x na y step1 x zidisha 2 = 2x ,step2 ukichukua 2x+5=2x+5 ,step3 ukichukua (2x+5) zidisha 5 =10x+25 step4,then ukichukua !10x+25+y yaani ile namba ya pili =10x+y+25 step6, ukichukua jibu yaani 10x+y+25-4=10x+y+21 halafu step7, ukichukua jibu lililobaki toa 21 yaani 10x+y+21-21=10x+y trick ni kwamba ukichukua 10 zidisha moja kati ya zile namba jibu litakuja kuwa sawa na zile namba ulizochagua mfano ulichagua x,y=10x+y weka namba yaani 3,4=10 x 3 +4=34
 
the answer is that f(x,y)=10x+y,so that if you put any two figure number it give you xy
 
Hii siledi wanafunzi wakiiona wanawezakata tamaa ya kwendelea na shule
Sent from my Brain using Tapatapa usife kama mjinga
 
Àndres Alexis;6406385 said:
sababu ni kwamba kwa mfano tuseme umechagua namba x na y step1 x zidisha 2 = 2x ,step2 ukichukua 2x+5=2x+5 ,step3 ukichukua (2x+5) zidisha 5 =10x+25 step4,then ukichukua !10x+25+y yaani ile namba ya pili =10x+y+25 step6, ukichukua jibu yaani 10x+y+25-4=10x+y+21 halafu step7, ukichukua jibu lililobaki toa 21 yaani 10x+y+21-21=10x+y trick ni kwamba ukichukua 10 zidisha moja kati ya zile namba jibu litakuja kuwa sawa na zile namba ulizochagua mfano ulichagua x,y=10x+y weka namba yaani 3,4=10 x 3 +4=34
una panado aisee
 
Brilliant mkuu.
 
Puffader namba zenyewe ni 2 na 3.
iko hivi
1.nimechagua namba 2 na 3
2. 2x2=4
3. 4+5=9
4. 9x5=45
5. 45+3(namba niliyoiacha)=48
6. 48-4=44
7. 44-21=23 (yaani 2 na 3 namba zilezile za mwanzo)
mimi kichwa wewe letejingine uone.
 
Back
Top Bottom