Ulichukuliaje pale ulipopata habari ex wako anaolewa au anaoa?

what povu? mkuu kuna mambo mengi humu duniani kweli utaanza kujali mambo ya ex kuoa au kuolewa? unapoachana ina maana meridhiana nyie ndoa imewashinda mkatafute sehemu nyingine

Kama mlipendana kweli kuna kahisia utakipata ukipewa taarifa ya ndoa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…