Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 18,637
- 29,106
Za asubuhi wanajamvi,
Natumai mmeamka salama,
Natumai nyote mmeshakuwa kwenye mahusiano na watu ambao kutokana na sababu mbalimbali mahusiano hayakufikia lengo na kupelekea kuachana lakini pia uliwezaje kukabili hisia pale ulipota habari kuwa yule mliechana nae anaolewa au anaoa?