Ulichukuliaje pale ulipopata habari ex wako anaolewa au anaoa?

Hahaha Hahaha Hahaha mm ex wangu agosti ya mwaka huu ndo anaoa wakati mm nshaolewa nshapata mtoto na keshaanza skuli
 
alinambia mm ndo ntakua
Msmaiz,wa arus yake

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
what povu? mkuu kuna mambo mengi humu duniani kweli utaanza kujali mambo ya ex kuoa au kuolewa? unapoachana ina maana meridhiana nyie ndoa imewashinda mkatafute sehemu nyingine
mwambie huyo tena cha ajabu anaweza kuoa au kuolewa na bado mkikutana mnaonganisha vikojoleo kama kawa

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
he he he i remember calling her nikiea nalia nikamwambia kesho naoa but she will always remain to be the girl i love
 
Nilienda kwenye harusi yao na nilihakikisha ananiona, ila nilikula sana nazani machungu yangu nilifidia kwenye chakula na pombe
 
watu wanapagawa sana, wanadhani life is zero sum game, kua we ukipata it means mimi nimekosa. sio kweli kila mtu yuko tofauti haijalishi umeoa au kuolewa mfano ulitaka iweje yaani. maisha yanaendelea tu, kwan wakati unakua huyo ex wako alikulipia ada. me nlivoskia anaolewa na mchango nikampa na kumtakia kila kheri kene ndoa yake maana alikua classmate chuo
 
Hakuna X wangu alie oa.Kama nimewapa mkosi hivi so i dont know the feeling
 
Nilijistukia kupoteza network, alikuja tukaagana na nikatoa mchango wangu, ilikuwa ni siku ya huzuni sana kwangu ilikuwa toka moyoni ila kwake niliona huzuni usoni mwake.
Hatukuachana kwa ugomvi au kuchokana tatizo lilikuwa ni dini na umbali, kama tungekuwa tunaishi mji mmoja mambo ya dini yangejiweka sawa kwa kutibua. Mpaka Leo tukikutana tunakumbushana MTIKISIKO wa kila upande sababu ya ndoa yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom