Ulichukua hatua gani?

Ulichukua hatua gani?

nilicheza dili la pesa na tajiri mmoja, kabla nilishapewa ABCD zake kuhusu kibunda, huwa habageini bei utakayotaja ndio hiyo hiyo ila sikuwaamini walionipa taarifa zake, nikaropoka bei ya kizembe sana alafu akasema kumbe hiyo tu kesho nalipa.

Nilitoka pale ofisini kwake nikaingia washroom nilijikuta najiongelesha mwenyewe na kujitusi. Yani full dipresheni tupu
 
nilicheza dili la pesa na tajiri mmoja, kabla nilishapewa ABCD zake kuhusu kibunda, huwa habageini bei utakayotaja ndio hiyo hiyo ila sikuwaamini walionipa taarifa zake, nikaropoka bei ya kizembe sana alafu akasema kumbe hiyo tu kesho nalipa.

Nilitoka pale ofisini kwake nikaingia washroom nilijikuta najiongelesha mwenyewe na kujitusi.
Duuh! hii kali.
 
Hello!, Jf-members.
Je, umeshawahi kujikuta unazungumza peke yako au unaongelesha vitu visivyo hai na ulichukua hatua gani?
Yes, especially ukiwa kwenye high vibration ukiwa unaongea na mtu wako wa ndani ambae hawezi kuonekana kwa macho na watu wengine hali hio inatokea,

Ps: Sio watu watu wote wanaweza kufikia hio level, ukifikia hio level jua wewe sio mtu wa kawaida na hustahiri kuishi dunia hii una dunia yako nyingine ya kipekee somewhere in between..

Ndio maana wanamuziki wengi hukaa sehemu ya peke yao na kuandaa wimbo wakiwa wanaongea wenyewe, wewe utaona tu nyimbo imetoka na kua hit song haujui nyuma yake kwenye maandalizi huyo muimbaji alikua anaimba mwenyewe na kuongea mwenyewe akiwa na high vibe ya kuimba kabla ya kuingia booth
 
Back
Top Bottom