Ulichukua hatua gani uliponyimwa tendo la ndoa na mpenzi wako?

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari ndugu zangu..

Katika safari ya maisha kuna siku inatokea una hamu sana ya kukutana kimwili na mpenzi wako ila kwa makusudi tu mwenza wako anaamua kukubania utamu.

Je, ulichukua hatua gani kushusha mzuka baada ya kunyimwa tendo na mpenzi wako?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume unaanzaje kunyimwa bila sababu za msingi, hiyo ni bonge ya dharau ambayo mwanamke hawezi nifanyia na ikitokea ina maana huyo alienifanyia hivo sio mpenzi wangu tena
 
Shukuru Mungu unae ambae anijielewa.
Unanyimwa tu hata ukiwa baunsa la sivyo ubake
 
Mwanaume unaanzaje kunyimwa bila sababu za msingi, hiyo ni bonge ya dharau ambayo mwanamke hawezi nifanyia na ikitokea ina maana huyo alienifanyia hivo sio mpenzi wangu tena
Mwanamke anakunyima tuu, haijalishi wewe ni mwanaume kivipi. Akiamua kwa hisia zake tunda hauli hakika.

Kama umepata anaekuvulia kila ukitaka shukuru sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Aloooooooo.
kumbe kuna kunyimana utamu.
sikuwahi kujua ila kama dini yako inaruhusu unaoa mke zaidi ya mmoja ili huyu akikunyima utamu unaenda kwa huyu na hapo unakuwa na total solution.
ila kama dini hairuhusu unaweza piga nyetto kama wewe ni muumini mzuri wa nyetto na ikiwa hupigi nyetto basi unaweza kuangalia hata vi side chicks.
 
Utamu unanyimwa tuu kirahisi mbona

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Siku za mwanzo nilikuwa napiga nyeto ila mwisho wa siku nikaona ni ufala.nikamtafutia kamanzi kengine ka pembeni na nikakapanga kabisa kuwa mm ni wife kwaiyo tukapeana code ya kuwa tunachekiana.hadi leo wife kajirudi ila mm ndio nishanogewa tyr na kumiacha siwezi.sio kosa langu
 
Back
Top Bottom