Kumbukumbuyatorati
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 152
- 222
Yale YaleCivil Engineer hapa.
Kama sio sie nyote mngekua mnalala nje[emoji3]
Honestly Hapana,
Nimesomea Madawa.
Ila kwa sasa nafanya biashara za Electronics&phone accessories
Nje ya madaNa sie wa elimu za ngumbaro tusemeje?
Lakini kama nimejifuna kusoma, kuandika na kuhesabu na nnavitumia mfano hata kuingia na kushiriki JF si inatosha?
Unaposema umetoka kimaisha, unapima kwa vitu gani?
Nje ya mada
Ni kuweza kuhudumia familia, kuoa, kuwa na usafiri, kuwa na makazi, kumiliki kiasi cha pesa .Ok, kutoka kimaisha unakutafsiri vipi na unatumia vigezo vipi?
Ni kuweza kuhudumia familia, kuoa, kuwa na usafiri, kuwa na makazi, kumiliki kiasi cha pesa au kuwa na vitu gani?
Nimetaka kujua tafsiri kwanza ya kutoka kimaisha. Mwingine kuwa na ajira tayari ametoka wakati mwingine kuwa na kiwango flani cha pesa ndio kutoka.
Kwa mfumo wa elimu yetu, ni kazi sana ulichokisomea kikakunufaisha moja kwa moja.
Miaka kama miwili tuuNi miaka mingapi baada ya chuo ndio natakiwa nijue kimenitoa au bado nambwela mbwela?
Ndo kipi hicho?Aaah wapi, nilichosomea na nachofanya ni mbingu na ardhi