gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,022
Wapendwa habarini,
Mimi ni mwanamke ila sasa nakutana na changamoto kwenye ndoa. Mwanaume hana kazi wala kipato chochote kile anachoingiza ila ulevi wa pombe ni January hadi December.
Ninachokipata kazini tunagawana ila ndo hivyo pombe lakini hilo halina shida bora alewe kwa starehe zake lakini swala linakuja ananiharibia hadi kazini kwangu.
Inafika kipindi ananifuata kazini kwangu na kutukana staff wenzangu kitu ambacho naona kitaniharibia kazi muda sio mrefu.
Naomba kama kuna msaada naweza pata mahali ili nilinde kibarua changu maana ndo kinachotuweka mjini. Naombeni msaada wenu na ukizingatia kibarua chenyewe nafanyia kanisani na kanisa na hayo mambo ni tofauti.