WanaJF, leo bungeni kuna mheshimiwa mmoja amehoji kauli ya Mh. MKulo akiwa waziri wa fedha kuwa aliituhumu kamati ya POAC kuwa ilihongwa mil 60. Na amemtaka mkulo afute kauli yake au alete ushahidi? Hivi akifuta kauli ndoo utakuwa mwisho wake au kuna hatua anazotakiwa achukuliwe kwa kudanganya kwa nguvu wakati akiwa amelewa madaraka?