Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,953
- 2,581
Jamani hivi ni mimi tu naona suala la ulevi limekithiri sana kwa vijana nimetembelea mikoa kama miwili hivi dah vijana wanakunywa sana
Sema nini madogo wanakunywa sana Ngumukumesaa.Hii ndio shida yenu watu mnaokunywa mirinda nyeusi.....
Asante mama kwa jibu zuri,haki ungekuwa karibu ningekuchukulia ka wine flani kana stimu lainiiiiii u enjoy.Hii ndio shida yenu watu mnaokunywa mirinda nyeusi.....
[emoji2][emoji2][emoji2]dahTulikuwa site moja ya ujenzi sehemu moja Kisarawe II Kigamboni.
ilipofika mida ya mchana jamaa fulani wakaaga kuwa ngoja twende dukani mara moja tukachukue matunda.
Ajabu wamerudi wamebeba Double kick na energy.
wanasema hayo ndiyo matunda.
nikasema kweli kazi ipo.
Sijawah toka nje ya nchiNi Nchi zipi umetembelea mkuu ?
Maana huku ni International tu . By the way Russia ndio wanaongoza kwa kunywa Vodka , halafu wanafuatia Germany.
Drink beer save water....Asante mama kwa jibu zuri,haki ungekuwa karibu ningekuchukulia ka wine flani kana stimu lainiiiiii u enjoy.
Ila me naipiga hii kitu now
View attachment 2377262
Bila kusahau mo energySema nini madogo wanakunywa sana Ngumukumesaa.
Vant Nyagi bangi na feg.
Hapo ndo shida.
Yaap...Bila kusahau mo energy
Kweli kabisa hizo sehemu mbili ni balaanimepita sehemu nyingi tu nilipofika uchagani na mbeya kwa wanyakyusa na wasafwa ilikatisha tamaa sana kuhusu future ya vijana wa maeneo hayo, hadi sasa najiuliza sana kuna laana hizo sehemu au ndio kasi ya dunia ipo kwao tu,, mfano mbeya wanaingiza pombe kali toka malawi na zambia, gongo zipo kila mtaa wanaziweka kwenye kopo za energy drink , ukipita makambako, njombe,songea,dodoma, moro , kigoma watu wanakunywa lakini sio sawa na moshi na maeneo yake jiran au mbeya
Upo sahihi wanaomba sana aiseeeYaap...
Hapa mtaani kwangu ndo wameshakuwa walevi na omba omba dah.