DreezyD98
JF-Expert Member
- Nov 6, 2020
- 1,613
- 2,884
Mmetusema kuhusu pweza tumekaa kimya tuJamani hivi ni mimi tu naona swala la ulevi limekithiri sana kwa vijana nimetembelea mikoa kama miwili hivi dah vijana wanakunywa sana
Sasa mnaanza kutufuata kwenye kinywaji kilichoasisiwa hadi na Yesu.
Hapana mtuache.
Wewe kunywa zako Fanta Orange