Umenikumbusha jamaa mmoja nae baada ya pombe akiwa usingizi aliota ameokota fuko la fedha limejaa coins. Sasa lile fuko likatoboka, ikabidi alizibe na kidole cha kati kati (mkono wa kulia), mkono wa kushoto umeshikilia juu ya fuko (yaani km kalikwida). Aliposhtuka usingizini kumbe kajipiga dole na mkono mwingine umemniga kooni......... Kweli fundo moja tu la ziada noma.......