Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
How come huyu jamaa alewe akati yeye alikuwa anakunywa Grand Malta na sisi Bombay sulphrine? Huu ni mkono wa Mtu....nadhani ni CDM wanamchafua huyu!
sio Chris Lukosi kweli huyu!?
Wapi huko?Kapiga ile style ya P~Funk aliyoi~toa majuzi!
hyu atakua kamix viroba + zanz na aina flan ya taputapu co bure.bia haikufany uwe mwehu ivo aiseee
Tabu zingine bwana! Kwa mtindo huu,huyu bwana anatafuta stress.
Ukumix madawa mlipuko unakua mkubwa. Wacha kuchanganya madawa ww. Chezea mix ww?(sio ile mix ya viazi vya upanga na wahindi.)
sio Chris Lukosi kweli huyu!?
Dah.....???