Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,144
[h=6[SIZE=4]Mlevi anarudi na rafiki yake mgeni nyumbani kwake na kuanza kumuelekeza hii ni nyumba yangu na lile ni gari langu, wakaingia ndani wanalikuta njemba limelala na mke wa mlevi bila wasiwasi mlevi akaendelea kuelekeza kile ni kitanda changu, yule ni mke wangu na yule aliyelala naye ni MIMI. .:juggle:[/h]