Ulevi ni nomaaa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulevi ni nomaaa!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Oct 3, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  hapo sasa mlevi ni yupi?
   
 3. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  duh!!!!
   
 4. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Isabela "Vai wa Ukweli" akiwa chakali kwa mitungi.
  [​IMG]
  Nguo zilikuwa nzito akaona ora apunguze uzito...Ulevi...Nomaaaa..!!
  [​IMG]
  Msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar,nashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo.
  Tukio hili lilitokea jana usiku ikiwa ndo weekend imeanza ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakali full chapombe,baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.
  Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba alizocheza zinatarajiwa kutoka hivi karibuni kama vile Good fellow,2 eyes,Black Wear,Doa la maishaMen day out na nyingine nyingi very soon.
  Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa Lulu katika matukio kama haya ikiwa wako tasnia moja na umri wao sawa ama kwqeli Lulu kapata mpinzani Isabela ni zaidi ya Lulu sasa.
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  hahahahaha!
   
 6. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  VAI WA UKWELI??? khaaaa..michirizi hiyo kwenye kona za Kiuno..
   
 7. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kaaaziii kweli kweli!!!! ulevi noma.
   
 8. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  kweli bidhaa bila matangazo haitoki.. inapigiwa debe dawa kuuwa mende na panya sembuse isabella??
   
 9. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ila yuko fresh?
   
Loading...