Ulaya wanashindwaje kuezeka viwanja vyao?

Ulaya wanashindwaje kuezeka viwanja vyao?

Duh! Yote haya maneno kwa kosa gani kubwa nililolifanya? Kwa kusema tu Uingereza ni Choka Mbaya? Sasa mama yangu anaingiaje Hapa? Yaani mimi kusema kwamba Uingereza hawana Hela za kujenga kiwanja ndiyo nistahili haya matusi yote? haya basi ngoja nirekebishe

,,Uingereza wana hela nyingi sana, sema hawataki tu kuweka Paa kwenye kiwanja tajwa, lakini wakiamua hata kesho wanafanya, usichezee Uingereza bwana, hawa Jamaa ni Miungu watu"

​
Hapo vipi? manake inaelekea nilikuaribia siku kweli pole sana nimesharekebisha, nafikiri utapata usingizi leo!

sio kwa kusema ni choka mbaya, ni kwa kushindwa kutumia akili yako vizuri. hata kama wewe ni mpumbavu, usidhihirishe upumbavu wako.
 
sio kwa kusema ni choka mbaya, ni kwa kushindwa kutumia akili yako vizuri. hata kama wewe ni mpumbavu, usidhihirishe upumbavu wako.

Kwa hiyo wewe usiye mpumbavu ukaona kwamba Mama yangu ndiyo anastahili matusi hayo kwa maneno niliyoyaandika mimi?
 
Kwa hiyo wewe usiye mpumbavu ukaona kwamba Mama yangu ndiyo anastahili matusi hayo kwa maneno niliyoyaandika mimi?

kama hiyo laana ulonayo imetoka kwake unafikiri nani anastahili lawama!!!?
 
Duh povu linavyokutoka kutetea kitu kilicho dhahiri kabisa, wakati Waingereza wenyewe (Wazungu na Siyo maniga kama wewe) wanajua na kutambua ya kwamba nchi yao sasa hivi ni choka mbaya ktk kila hali, kuanzia Michezo, Kiuchumi, mpaka Kiutamaduni wamebakiza lugha tu na hata lugha yenyewe wengi wetu sasa hivi tunajifunza Kimarekani!
Ni nani asiyejua kwamba football Uingereza kwishnei? Kombe la Dunia lililopita hawakushinda mechi hata Moja, Ni lini klabu ya Uingereza imeshinda Champions league kwa mara ya mwisho? Ukiangalia FIFA ranking hata 10 bora hawamo sasa unachotetea hapo ni kitu gani? hata wao (Wazungu Waingereza na siyo maniga) wanalijua hilo kwamba nchi yao sasa hivi kwenye ramani ya Dunia ni choka mbaya isipokuwa maniga ndiyo wanapinga!

kwanza kimarekani ndo kikoje?????? hebu tuanzie hapo....hlf nna wasiwasi na uwelewa wako wa hii mada
 
Nyie vipi? Mbona mmeacha kubishana tena? Au mnapika kwanza?
 
Mkuu,
Naelewa kuwa swala la wembley kufunikwa or kujifunga ni issue ya design na preference na wala sio hela,i got no problem with that....na mimi sijaargue wala sijahusisha issue ya pesa na hili...what am asking ni issue ya kuwa unajifunga partially ka ulivyosema while mleta mada kadai kuwa kocha wa totts ambae alikuwa off the pitch alikuwa analowana...nikataka kujua kutoka kwako wewe uliyecomment about hii partiallity ya kujifunga inacover hadi wapi...maana eneo la bench kikawaida huwa lina kuwa covered na roof ya kawaida tuh ya uwanja.
Wewe ndo umetoa comment ambayo nimehisi ina utata,haina haja ya wewe kunielekeza kuwa nikagoogle or something lyk that wakati we hoja inayozungumziwa umeitolea apa jukwaani...that means unadetails on it na sense ya kujibia apa ni kuwa ni kwa faida ya wachangiaji wote mkuu

Haya mkuu...soma hapo chino.
http://www.stadiumguide.com/wembleynew/
 
Raha ya mpira iwe eneo la wazi na wakifunika nadhani itakuwa watu kama wanaingia kwenye jumba la sinema, btw nadhani kila kitu kinawezekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom