Ulaya unashtakiwa

Sio ursno street?
Si wangempa seat tu mshikaji, ili hata wahakati wa kumla kuwa hakuna manung'uniko
Kabisa au basi kama issue ni kuchafua gari na shombo la mbuzi kwenye gari wangenunua hata jaba kubwa wakamuwekea na majani halafu wakamuweka hapo nyuma vioo hawafungi...
 
Hata Tanzania unashitakiwa, tatizo ni ufatiliaji tu. Zanzibar ilashatokea kesi ya mauji ya punda baada ya kubebeshwa mzigo mkubwa wa mbao
 
Ukatili mbaya sana. Huo.Huyo dereva awajibishwe gari imeahajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…