Ulaya kuzinyima nchi za Afrika Mashariki misaada kwa kutokuridhia EAC-EU EPA

Sio hao tu, nchi hii inatakiwa inyimwe misaada yote, yaani wote wazuie hiyo misaada yao, tunahitaji kuishi maisha yetu sasa.
For sure tumekuwa na viongozi dhaifu sana toka ccm, Nchi na rasilimali zote hizi halafu watu wanalilia misaada, ni ulemavu wa akili au ni kitu gani?
My strongest president do not ever hesitate telling them to stay with their money, we stay with our poverty, we will truly learn to get out of poverty by ourselves.
Ni aibu kwa mwanaume mwenye nguvu, akili na Afya kutegemea jasho la Mwanaume mwenzio,
Ndio maana hawa wazungu wamepata jeuri na kuvuka mipaka kiasi cha kutuambia tuwe mashoga ili tupate misaada,

I am sure my Strong president will agree with me,
There will be no EPA, neither any such exploitative deals,

@100% Mnyalu!
 
Itakuwa ni vizuri wakizuia hiyo misaada ili tupate akili ya kujisaidia wenyewe. Kwanza hiyo wanayotoa sio misaada maana hakuna msaada unaotaka return.
Sure, intact sio misaada, ni kiasi kidogo sana cha faida kubwa waliyoipata kupitia EPA, u don't need a college diploma tu understand this.
 
Sure, intact sio misaada, ni kiasi kidogo sana cha faida kubwa waliyoipata kupitia EPA, u don't need a college diploma tu understand this.
Wazungu wana akili sana. Wanatengeneza faida ya trilioni 100 halafu wanakupa bilioni 100 wanakwambia ni msaada kutoka kwa walipa kodi wa nchi zao. Wewe chukulia mfano wa dhahabu, wanachimba halafu wanaenda kutengeneza pete, hereni, cheni na bangiri halafu wanauza hadi bilioni moja za kitanzania kwa pete moja tu ya dhahabu. Afrika haina viongozi wenye akili, wao kazi zao ni kuwakomalia kodi na ushuru wauza chupi na soksi za mitumba ilitokea Ulaya na Marekani wakati utajiri wanauona tu!
 
Sio hao tu, nchi hii inatakiwa inyimwe misaada yote, yaani wote wazuie hiyo misaada yao, tunahitaji kuishi maisha yetu sasa.
For sure tumekuwa na viongozi dhaifu sana toka ccm, Nchi na rasilimali zote hizi halafu watu wanalilia misaada, ni ulemavu wa akili au ni kitu gani?
My strongest president do not ever hesitate telling them to stay with their money, we stay with our poverty, we will truly learn to get out of poverty by ourselves.
Ni aibu kwa mwanaume mwenye nguvu, akili na Afya kutegemea jasho la Mwanaume mwenzio,
Ndio maana hawa wazungu wamepata jeuri na kuvuka mipaka kiasi cha kutuambia tuwe mashoga ili tupate misaada,

I am sure my Strong president will agree with me,
There will be no EPA, neither any such exploitative deals,

@100% Mnyalu!
Wake up and see the reality ...

That hero of yours isn't going to play his cards well in anything

Usiongee kwa kuwa upo jukwaa la Kenya ... Kila mtu anaijua hali halisi ya Tanzania yaani haiwezi kuendesha bajeti yake yenyewe bila misaada lakini pia ninaona hoja ya kunyimwa misaada itawashtua hao mamwinyi ili wapate akili ya kuzisimamia rasilimali zetu .....
 
Hatuwezi kuishi kwa kutegemea misaada ya wafadhili, hakuna mjomba huko majuu, wacha waende zao, hata msaada ukiwepo kwa aina ya mfumo wa tawala za nchi zinazoendelea hazitasaidia
 
Ila jamani tuache uongo wazungu wana roho nzuri sana.. yani milele na milele wanatupa tu misaada halafu wao hata hawachoki na kukata tamaa juu yetu, kweli wana roho nzuri hakika... yani wanatoa msaada bila hata ya kutegemea lolote toka kwetu? (hilo ndo swali) hakika wana moyo wa kipekee... shetani awakirimie
 
Back
Top Bottom