Ulale pema peponi askofu moses kolola ntakukumbuka babu daima

Ulale pema peponi askofu moses kolola ntakukumbuka babu daima

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,920
Reaction score
38,245
Kama biblia isemavyo siku za binadamu si nyingi duniani
imempendea baba yetu babu yetu mzee askofu moses kolola kuitwa na mungu
mzee wangu huyu nilipata kumjua siku moja nikiwa naenda mwanza kwenye ndege akanipa ushuhuda
mmoja nikiwambia unaweza hisi ni cinema

nikiwa siti ya kati kati alimtuma mhudumu wa ndege niitie kijana yule kama kawaida amekaa na mkewe kipenzi chake jamani babu akaongea nakuniuliza baadhi ya maswali...nikamwambia na mwisho akaniaa mbia najua uanmpenda yesu lakini ujana ni sehemu moja mbaya sana katika dunia hii ni muda ambao unaweza kuamua uishi miaka mingi ama lah..ni muda ambao unaweza kuamua ukamwone mungu siku ya mwisho ama lah.......

Naandikakwa huzuni kubwa babu yangu moses kulola-askofu mungu akulaze pema peponi..nikiwa nakaribia mwanza akanieleza mambo mengi ikiwamo ushuhuda wake alivyompata yesu najinsi alivyokufa watu wakajua wanaenda kuzika kumbemungu alimchukua akamwonyesha mbinguni alafu akampeleka kule jehanum na kumwonyesha watu wanavyochomwa moto wanavyoungua na huku funza zikiwapandia juu mpaka chini...akuishia hapo akamwona mzazi wake mmoja ama ndugu yake sikusei na kulia sana ndugu yule akaanza kumwita moses moses moses nisaidie naisha nisaidie akamwomba mungu hata amtoe nusu saaa mungu akamjibu moses nenda ukatoe ushuhuda duniani binadamu wajue wakifa wanaelekea wapi

babuyangu kipenzi siitokaa nikusahau umekuwa kwenye maombi ukiniombea na hata ukishuka uwanja wa ndege ukusita kunijulisha na kuniombea kwenye simu ...babu yangu kolola maombi yako yananifanya niishi hapa nilipo nikiongozwa na mkono wa mungu .....

Nasema hivi kukufahamisha pengineumekuwa na kazi fulani ukupendezwa nayo upo sababu upo na unaitaji kufanya kazi mungu akisema imetosha hamia huku kwenye neema akuna atakegusa mkono juuyako ...babu yangu aliniombea siku moja nakuniambia mshike sana mungu usimwache na kamaunaweza kusaidia kanisa kushiriki unachoweza kushiriki na kuombea wapendwa wa mungu nakwambia leo hii nakuombea airport kadri mungu wangu aishivyo ndugu na jamaa watakuja kukufwata na kusema mungu wako ni wa kweli..ndugu wapendwa mzee wetu akupenda kuona mtu wa mungu akiwa anateseka aizidi kuniombea na kuomba baraka kwa famailia yangu

leo mungu wetu ainuliwe mungu alie hai azidi kutukuzwa naamini kama usomavyo hivi baraka za bwana zikakutangulie nakuachiaupako wa babu yetu juu ya mafanikio yako

1.kifedha
2.kifamilia
4.kiuchumi
4.kwenye biashara zako
5.kwenye kazi zako

mungu akakupe uweza na nguvu za kumtumikia yeye kama babu yangu koola alivyotumika kwa mungu duniani

kesho tunapoenda kumpumzisha babu yetu naamini mungu amependa apumzike ..nfugu zake wapendwa wake tusihuzunike sana babu amefanya kazi ya mungu kwa uaminfu na mungu amemwona na kusema mtoto wangu imetosha njoo upumzike ..tumwombee na sisi tufate yale aliyokuwa akifanya

bwana ametoa bwana ametwaaa

ulale pema babu yangu moses kolola
 
Mungu amlaze mahali anapostahili kutokana na matendo yake yote ya duniani.
 
Back
Top Bottom