STEVEN ATMIN
Member
- May 4, 2012
- 24
- 1
Hebu waungwana wa JF niambie eti nasikia tetesi WAHEHE wanakula kitoweo kiitwacho mbwa hivi ni kweli au ni hadithi tu.NAOMBENI MAELEZO AKINIFU MIMI KICHANGA WA JF.
Hebu waungwana wa JF niambie eti nasikia tetesi WAHEHE wanakula kitoweo kiitwacho mbwa hivi ni kweli au ni hadithi tu.NAOMBENI MAELEZO AKINIFU MIMI KICHANGA WA JF.
Teeh! teeh! Nimependa ilo jina wenawe MUHEHE nn?hawaitwi mbwa; wanaitwa mbuzi makucha!....haya rekebisha heading kwanza ndio tuchangie
hawaitwi mbwa; wanaitwa mbuzi makucha!....haya rekebisha heading kwanza ndio tuchangie[/QUOTE
Wanaitwa kidogi.
hawaitwi mbwa; wanaitwa mbuzi makucha!....haya rekebisha heading kwanza ndio tuchangie[/QUOTE
Wanaitwa kidogi.
asante kwa kunielimisha member wa JF ili jina la mbuzi makucha ndio kwanza nalipata toka kwako. asate rafiki.
Hebu waungwana wa JF niambie eti nasikia tetesi WAHEHE wanakula kitoweo kiitwacho mbwa hivi ni kweli au ni hadithi tu.NAOMBENI MAELEZO AKINIFU MIMI KICHANGA WA JF.
asante kwa kunibainishahizo ni hadithi tu za paukwa pakawa, wahehe maharage wanayaita idogi... hivyo kama amekula
ugali maharage atasema nimekula ugali na idogi....kwa sisi watu wa kuja tunadhani ni mbwa kumbe
ni maharage. nimekaa sana iringa sijawahi kuona wakila mbwa zaidi ya story tu kusikia kwa watu.
sawa na ukiwa unaenda tanga utaambiwa vifuu vya nazi vinatembea na kuongea lakini hamna kitu.
Ana kilango
Ana kilango