Kwema wakubwa..Nina allion 1zz ila sasa mafuta ya 70k ambayo ni kama lita 17.2 natumia siku 5 tu, na hapo distance nayotembea kwa siku ni 23km kwenda na kurudi. Plugs, coil nimebadili na oxygen sensor pia nimeisafisha lakini bado ulaji wake ndo huo. Ushauri wataalam