Kubwa zaidi ni kukwepa kimfumo, yaaani total legalized, kwanza ni bidhaa Zote za soda na juice hazina kodi, hii off course imewasaidia pia coca cola na Pepsi ambao hawakuwa walengwa, pili, yeye Ndiye pekee anayeweza kuleta ngano kutoka Zambia kama sikosei tax free, tatu, ni kuwa bidhaa yeyote inayofanana na bidhaa zake kutoka nje kama juices zinakodi kubwa sana , despite the fact kuwa juizi zake zinatumia concentrate kutoka njeKuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.
Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.
Karibuni wakuu.
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.

​kuna kipindi aliwahi fadhili mishahara ya watumishi wa serikaliUmesahau kuwa at some points huwa anaifadhili serikali ikiwa imepigika
Kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa CCM wanaonufaika na huyu mfanyabiasha.
Inasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa.
Karibuni wakuu.
niweke nyaraka kwani wewe ni TRA?
Kusaidia taifa ni pamoja na kulipa kodi, kama kila mtu hatalipa kodi unategemea maendeleo uatakuja vipi?yeye ni mfanyabiashara na kila product yake umayoiona ina charges zote kuanzia hiyo mishahara hadi malighafi, mpaka umeme unaotumika katika kila unit...
Umewaka hivi kwa sababu umesikia ni Bakhressa?angetajwa mengi hapa tungeuona ushabiki maandazi wako
Kodi ni lazima ilipwe, hafanyi kazi ya msikiti bali biashara, tunampongeza kwa kulwta ajira japo vitengo wamekamata wakenya na wahindi
We mla nguruwe tuliza mshono wako na punguza kdomo domo
Msikit unaingiaje hapo sasa
Au unahis watu wanauliza ushahid kwa kuwa bakhresa ni muislam au??
Na chuki zako kama umekunywa tindikali
Hata kama huyo mumeo mengi angekuwa anasemwa hajalipa kodi tungehoji vile vile huyo mtoa shutuma
kama zezeta vile lione
wewe makapuni makubwa makubwa yanayokuibia kodi huko huyaoni au unawashwa tuh?
Mpuu.zi mkubwa
Huna akili, zaidi ya yote hauna elimu, so sibishani na mpumbavu...ngoja nikupe homework
Tafuta maana ya Tax evasion and tax avoidance afu uje hapa uniambie unaelewa nini jinga kubwa wewe
Hebu weka nyaraka mkuu
wabongo kwa kudanganyana wewe ulimuona wap hajalipa kodi tafuta kazi ufanye acha majungu