lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
kuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group aka azam unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa ccm wanaonufaika na huyu mfanyabiasha. yasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa. karibuni wakuu.
Hebu weka nyaraka mkuu
Umesahau kuwa at some points huwa anaifadhili serikali ikiwa imepigika
Njoo na facts mkuu vinginevyo utakuwa ndo ule wivu wa kinalii alosemaga rais aliyepita
Hawa si ndio wale wale jama wa ccm kama baba na mwanakuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group aka azam unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa ccm wanaonufaika na huyu mfanyabiasha. yasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa. karibuni wakuu.
Umejiunga juzi tu una posts zaidi ya 300. Nyingi ya pointi hizo ni pumba tukuna taarifa kwamba ukwepaji kodi wa BAKHRESA and group aka azam unachangiwa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya vigogo wa ccm wanaonufaika na huyu mfanyabiasha. yasemeka biashara zake za vyakula na maboti ya usafiri hazilipi kodi inavyotakiwa na serikali imekaa kimyaaa. karibuni wakuu.
Usiseme tu kipo wazi ilhali sisi hatukioni. Wivu mbaya sana nduguMkuu mbona kila kitu kipo wazi hapa
kodi hiyo kaanza kukwepa lin??
ha ha ha ha
weka ushahid wako tuone ukweli wa hicho unachokisema
MITANZANIA BANA,,WEWE WAKWEPA KOJI WA NCHI HII HUWAJUI??
BADALA YA KUKAA NA KUSHUKURU KWA WAZAWA KAMA HAWA KUPATA MAFANIKIO YA KUSAIDIA TAIFA HILI IKIWEMO NA AJIRA WEWE UNAPIKA MAJUNGU
UTAPIKA SANA MAJUNGU NA MWISHO UTAJIPIKA WEWE MWENYEWE.
:heh: :heh: :heh: :rockon:
Utakuwa umetumwa na Reginald Mengi wewe. Huu ni wivu wa kike
Utakuwa umetumwa na Reginald Mengi wewe. Huu ni wivu wa kike
kodi hiyo kaanza kukwepa lin??
ha ha ha ha
weka ushahid wako tuone ukweli wa hicho unachokisema
MITANZANIA BANA,,WEWE WAKWEPA KOJI WA NCHI HII HUWAJUI??
BADALA YA KUKAA NA KUSHUKURU KWA WAZAWA KAMA HAWA KUPATA MAFANIKIO YA KUSAIDIA TAIFA HILI IKIWEMO NA AJIRA WEWE UNAPIKA MAJUNGU
UTAPIKA SANA MAJUNGU NA MWISHO UTAJIPIKA WEWE MWENYEWE.
:heh: :heh: :heh: :rockon:
Umejiunga juzi tu una posts zaidi ya 300. Nyingi ya pointi hizo ni pumba tu
Sasa Mengi anaingiaje hapa?Au kwa vile ITV wamekua wakirusha midahalo ya Warioba?
Halafu ujifunze kuheshimu jinsia ya Kike sio kui-associate na mambo ya ajabu ajabu.Hujakomaa vizuri,huna ustaarabu wala maadili kwa hali hii
CC: Dc Kinondoni
niweke nyaraka kwani wewe ni TRA?
Usiseme tu kipo wazi ilhali sisi hatukioni. Wivu mbaya sana ndugu