Ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Jul 1, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kitu chenye thamani kubwa kuliko uongo. Laki mara nyingine uongo nao huwa na faida kuliko ukweli japo huleta madhara. Mwisho ukweli unabaki kuwa na thamani kwani uongo huwa na faida kwa wakati uleule tu. Suala la madiwani wa Arusha CHADEMA kukubali mseto ni sawa na kulamba matapishi yao wenyewe. Mbunge Lema yupo sawa kabisa. Ukweli katika siasa, mkiweka msimamo kuhusu kutetea kukiukwa kwa taratibu, kanuni na sheria ni kutetea haki iliyo kweli. Kubadili msimamo kunamaanisha kuwa kile walichokiwekea msimamo tangu awali kilikuwa batili. Hii inaleta maana kuwa madai yao yalikuwa ya uongo. Huu sio msimamo thabiti, haki haiwezi kuwa batili. Madiwani hawa wanasukumwa na njaa ya posho pamoja na unafiki wa kisiasa. Mbunge Lema anaepuka kikombe cha unafiki.
   
Loading...