Ukweli, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli,

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sharo hiphop, Jun 5, 2011.

 1. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naaaaaaaam wana jf!
  Hivi kwa nini mara nyingi mtu ukimweleza ukweli kuhusu alivyo unaweza kuzua balaa?
  Mfano mtu anaweza kuwa kahaba lakini ukimwambia kuwa yeye ni malaya unakosana nae.
  Mtu anaweza kuwa mlevi lakini mwambie kuwa yeye ni mlevi, utakosana nae,
  mtu utakuta anaiba, lakini mwambie kuwa yeye ni mwizi, mtatoana meno.

  hivi hi ni kwa nini? Kwa nini mtu asifurahi akiambiwa ukweli na ikiwezekana ajirekebishe? Hapa kuna nini?


  jumapili njema.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ukweli unauma...........................................
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ukitaka kuwa adui namba moja wa mtu siku zote mwambie ukweli. Ukweli unauma jamani.
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Sina neno zaidi
   
 5. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hakuna mtu anayependa kutajwa kwa tabia yake mbaya.
  Aliyemkarimu/mwenye heshima/mchapa kazi na wengine wenye tabia njema, mbona hachukiwi unapomtaja kwa tabia hizo?
  Kwanini? Coz hazimuweki hatarini na wala watu hawatomuekea tahadhari kama ile wanayoiweka kwa mtu mwizi/ mpiga chabo/ teja/ muongo na wengene wenye tabia mbaya
   
 6. innovg

  innovg Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si kila ukweli lazima useme, kama huamini sema ukweli kwa vyote ulivyofanya uone
   
 7. innovg

  innovg Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si kila ukweli lazima useme,
  kama huamini sema ukweli kwa vyote ulivyofanya uone
   
 8. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mtu anakasirika kwasababu kabla hujamwambia,yeye roho yake ilishamsuta mara kibao kuhusu tabia yake ila akashindwa kujirekebisha.kwahiyo wewe unamuongezea maumivu tu
   
 9. A

  Ados Senior Member

  #9
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama vile ccm na cdm ukweli unauma
   
 10. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,572
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Wachache wanapenda, nilimuona mmoja akiorodhesha kwenye kitabu idadi na majina ya wanawake aliotembea (do nao) nao. Mpaka naondoka alikuwa amewakumbuka 213 na bado alikuwa anaendelea kuorodhesha. Anaitwa mzee wa KIMINYIO.
   
 11. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  3244!!!
   
 12. LD

  LD JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama mtu anapenda kubadika akiambiwa ukweli unauma lakini anafanya jitihada za kujivua hilo gamba. Lakini kama hajui kuwa ana matatizo na anahitaji kupona, Ukimwambia ukweli atasema usifuatilie maisha yangu. Kwa hiyo hapa inategemea ni ukweli gani unasemwa kwa nani?
   
Loading...