donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Ndio ivo mkuu,,na ukishakufa wote watakupendaDah Mkuu ukinyooka huo ni kifo..
Kwel kabisa mkuukila mtu atasema tulimpenda ila m/Mungu akampenda zaidi
Uko sawaKweli kabisa.
Rudi post namba 3 na 4 wamefafanua.Sijaelewa kitu yoyote hapa
mstari wa nini mkuuRudi post namba 3 na 4 wamefafanua.
Huwa kuna ile machine anawekewa mgonjwa hospital ikionesha kimstari kina flow (mapigo ya moyo-sina hakika sana) kikionesha kipo straight hapo mapigo ya moyo yanakuwa yamesimama/death..sasa fanya kurelate na post hiimstari wa nini mkuu
Kumbe..hapo nimeelewa sasaHuwa kuna ile machine anawekewa mgonjwa hospital ikionesha kimstari kina flow (mapigo ya moyo-sina hakika sana) kikionesha kipo straight hapo mapigo ya moyo yanakuwa yamesimama/death..sasa fanya kurelate na post hii