Ukweli wangu umeniponza, najuta

Kinachofuata sasa na mimi namchunia tu, nilidhani ataelewa kuwa nampenda pendo la kweli mithili ya Samson na Delila kumbe hakuna kitu. Mimi ndiye mwenye mamlaka sasa ndo atajua kuwa Mwanaume Hafumaniwi bali Hukutwa.
 
umefanya vzri kumwambia ukweli mkeo kwa7bu laiti ungekufa bila kumwambia ungepata dhambi 2 ya kumdhulumu mkeo na kuzn. hivyo sasa fanya toba kwa mungu wako akusamehe ya kuzn. kuhusu mkeo mwache mpk hacra zitakapomtoka ila kkubwa inakubd ujpendekeze.
 
Kinachofuata sasa na mimi namchunia tu, nilidhani ataelewa kuwa nampenda pendo la kweli mithili ya Samson na Delila kumbe hakuna kitu. Mimi ndiye mwenye mamlaka sasa ndo atajua kuwa Mwanaume Hafumaniwi bali Hukutwa.

Well naona sasa umeshakuwa mkubwa. Cheki na Mods sasa waifunge hii thread isije ikawaambukiza maradhi ulokuwa nayo kwa vijana wanaobalehe.

Siku zote mwanaume anakiri makosa yake kwa mkewe isipokuwa UZINZI. Hata akikufumania usikubali. unamwambia mwanamke ndie alikulazimisha tena kwa bastola.
 
Kinachofuata sasa na mimi namchunia tu, nilidhani ataelewa kuwa nampenda pendo la kweli mithili ya Samson na Delila kumbe hakuna kitu. Mimi ndiye mwenye mamlaka sasa ndo atajua kuwa Mwanaume Hafumaniwi bali Hukutwa.

ww mchunie tu. Lakin nayeye akiamua kulipiza usije kutulalamikia hapa. Wahuni wakianza kuzama uvinza wanadeki kila kitu....... Kiukweli umekosea sana mkuu hustahili kutoa siri kama hyo ww ni mwanaume
 
ww mchunie tu. Lakin nayeye akiamua kulipiza usije kutulalamikia hapa. Wahuni wakianza kuzama uvinza wanadeki kila kitu....... Kiukweli umekosea sana mkuu hustahili kutoa siri kama hyo ww ni mwanaume

Naamini atakuwa kakuelewa.
 
hakuna cha kujifanya eti to be honesty, ungekuwa honesty ungekuwa unamuaga wakati unaenda kuchepuka.
 
Umeutua mzigo uloisi umekuelemea,sasa umemtwisha mwenzio.Mzidishie mapenzi adi shetani ashangae.
 
Kinachofuata sasa na mimi namchunia tu, nilidhani ataelewa kuwa nampenda pendo la kweli mithili ya Samson na Delila kumbe hakuna kitu. Mimi ndiye mwenye mamlaka sasa ndo atajua kuwa Mwanaume Hafumaniwi bali Hukutwa.

Wakati una cheat ulikua humpendi? Kama unampenda ulifanyaje jambo la kumuumiza huyo unayedai unampenda kweli?
Mungu alikupa mamlaka kuongoza na kuwa mfano bora kwa wale unaoowaongoza. Si mamlaka ya kufanya UZINZI halafu kumnyanyasa mkeo kwa Jeuri hii unayoonyesha
Shame on you! Jiandae kuchapiwa na wewe sasa!
 
"Usihukumu usije ukahukumiwa"
 
We nawe akili huna bab,coz unaweza vunja ndoa bab,vtu vingne tumia akil ,ulokua ukifanaya ni makosa makubwa na kwa iman yangu ww ni mfu ulie hai,inabid upijwe mawe had kufa,anyway hakuna wa kukupja mawe kwa sasa ,ilibid umrejee mungu na kujutia uchafu wako,then harudii makosa na si kumwambia yfe,vp kama km angekua anafanya yy then anakutel?,unapata mke katulia af unamwambia upuuz wako then unataka awe kawaida,r u ok man?
 
Kama ungekuwa wewe ungefurahia na maisha yakaenda kama kawaida?
Mkeo nae ni binadamu lazima kimuume.
 
Kapimeni UKIMWI.
 
Maasharati hamkosekani.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…