Ukweli Wanaume aina hii wanaboa sana

naona njemba mbili hizo pembeni zinamuangalia jamaa kwa jicho la kisodoma.
mwenyewe hana habari na sijui castle light zake mbili..
 
Wenye uelewa na maisha ya NDOA nadhani wanaweza kuelezea kwa uzuri ili jambo, vinginevyo si sahihi hiyo tabia.

LABDA TUSEME:
Baadhi ya wajeda walioOA wake zao wanajua kung'arisha boot hasa pale mbele panapotakiwa kung'aa zaidi. Hii ni kutokana na mazingira na maisha wanayoishi hapo barracks.

WENYE NDOA:
Mwanaume au Mwanamke, majukumu kadha wa kadha ya usafi wa sehemu za mwili kama hizo ni jukumu la kila mmoja kumfanyia mwenzake sasa hii tabia sijui imevunwa kutoka wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…