Ukweli : Wabunge na madiwani waliojiuza wanaona aibu kujitokeza hadharani

Mtatiro jana kakiri kuwa ukiwa ccm huruhusiwi kukosoa hadharani, unatakiwa kupeleka malalamiko kwenye vikao. Sasa tatizo linakuja kuwa yeye sio mjumbe wa kikao chochote hata cha nyumba kumi.
Ndio kimavi chenyewe,kwani yeye hakufanya uchambuzi yakinifu kabla ya kuhama? Yeye akiri Tu kuwa alichokuwa anategemea hajakipata ameangukia pua,alienda kule si Kwa ajili ya kuunga juhudi za Rais mkono alienda ili apate teuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom