Ukweli : Wabunge na madiwani waliojiuza wanaona aibu kujitokeza hadharani

Huu ndio ukweli niliouona waziwazi , wamepoteza kabisa ule ujasiri waliokuwa nao , wako kama mtu aliyejisaidia hadharani kwa bahati mbaya baada ya kukumbwa na tumbo la kuhara

Ukiacha Waitara ambaye labda amepata ahueni baada ya kuokota unaibu waziri , wengine wote wanaona aibu hata kujitokeza hadharani tu ! hii ina maana kubwa sana ndugu zangu , ama kweli Usaliti ni laana mbaya mno !

Nachukua nafasi hii kuwapa pole sana familia za Wasaliti hao kwa aibu wanayopitia kwenye kipindi hiki , maana kama baba wa familia ambaye ndiye Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya familia anaweza kununuliwa hii inaleta picha mbaya sana na inaweka rehani familia nzima , familia haitajiamini tena na mwishowe inakata tamaa.
Kuna mmoja sio mbunge anaitwa mtatiro kipindi yupo ukawa akiweka post yeyote alikuwa anapata comments na likes kama zote ila kwa sasa hadi huruma anaweka post yanapita masaa mawili hana comment hata moja daa watz ni noma!!
 
Yaan iliposema wabunge waliojiuza nimefingua fasta nikijua ni akina nani hawa wanajiuza. Kimbe ndio wale wale. Achana nao hao. Wanaishi kwa shida sana. Nafsi zao zinawasuta

Sent using samsung galaxy grand prime pro
 
Dhambi ya usaliti inatawanyika kama moto wa nyika. Na bado 2020 ndipo watajifunza maana ya kusimama kama wewe na akili za kupachikwa uongeze na za kwako. Hakutakuwa na msaada wala kupita bila kura ya naoni. Haiwezekani sisi tufie chama tangu 1977 halafu utoke ulikokuwepo kuja kukaribia mezani tena bila kunawa.
vyeo vipo vingi tu wakikosa ubunge/udiwani Kuna udc, urc, ubalozi, katibu tawala...nk
kalaghabao wenzio wamechagua fungu lililo jema
 
kikokotoo basi tena!
Ebu unga mkono juhudi za jiwe kuhusu kikokotoo Nchi nzima maandamano ya kikokotoo kilichowekewa sahihi na kichaa ambae kwa ukichaa kasahau kuwa yeye ndiye muasisi wa kikokotoo. Haya yanatokea CCM pekee.
 
Huu ndio ukweli niliouona waziwazi , wamepoteza kabisa ule ujasiri waliokuwa nao , wako kama mtu aliyejisaidia hadharani kwa bahati mbaya baada ya kukumbwa na tumbo la kuhara

Ukiacha Waitara ambaye labda amepata ahueni baada ya kuokota unaibu waziri , wengine wote wanaona aibu hata kujitokeza hadharani tu ! hii ina maana kubwa sana ndugu zangu , ama kweli Usaliti ni laana mbaya mno !

Nachukua nafasi hii kuwapa pole sana familia za Wasaliti hao kwa aibu wanayopitia kwenye kipindi hiki , maana kama baba wa familia ambaye ndiye Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya familia anaweza kununuliwa hii inaleta picha mbaya sana na inaweka rehani familia nzima , familia haitajiamini tena na mwishowe inakata tamaa.
Saw Milya in Simanjiro he was like a ghost walking everyone is looking at him like whaaaat. Wanafiki wakumchekea hawakosi hasa wenye mamlaka lakini ni mbayaaa
 
Yaan iliposema wabunge waliojiuza nimefingua fasta nikijua ni akina nani hawa wanajiuza. Kimbe ndio wale wale. Achana nao hao. Wanaishi kwa shida sana. Nafsi zao zinawasuta

Sent using samsung galaxy grand prime pro
Pole mkuu, ulidhani utaokota dodo chini ya mnazi?
 
hahaha kishasemwa na bulaya nawe ulikosoa leo kiko wapi. mnapayuka tu mara maandamano mara nn? wale wa mwanza jana waliandaliwa ! ndo shida ya kuongozwa na jitu lililokuja town kusoma toka kuchunga
Niulize Bulaya na TUCTA nani anastahili sifa? Yaani Bulaya kuongea kwenye vyombo vya habari siku moja tayari yeye ndo mkombozi wa wafanyakazi, wakati kuna watu mpaka wameandika mpaka makala. Hawa TUCTA wamepigana usiku na mchana mpaka wakaonana na Rais. Leo mnampa mtu sifa asizostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wanajifichia nini ?
Nani kakuambia wamejificha? Mi nachojua mtu ambae amejificha kiukweli kabisa ni Dereva wa Lissu. Yaani huyo anastahili tuzo ya kujificha ya Mwaka 2018. We unaongelea kina gekul na Mollel wapo kila siku bungeni, wanakichafua tu. wanakula maisha na familia zao wapo huru wametoka utumwani ambapo huko ni mwiko kukosoa madudu ya chama. Ukiongea tu kesho unafungiwa virago vyako.

uongo utakusaidia nini mjomba ?
 
Back
Top Bottom