sir doctor
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 291
- 66
Mie nimefanikiwa kuangalia nimekuta nimechaguliwa HV zimevuja au ni za Ukweli??????
Kwahiyo wataachia lini official????Zimevuja ila ni za ukweli, hii ilitokea 2014 pia
Wewe umefanikiwaje!?Mie nimefanikiwa kuangalia nimekuta nimechaguliwa HV zimevuja au ni za Ukweli??????
Hawajaweka kwny web yak official BT imevuja tuZimevuja vipi wakati yamewekwa web ya TCU?
Umepitia website gan?Wewe umefanikiwaje!?
Elwkeza na wengine waweze kuona.
Wametolea website gan?Mie nimefanikiwa kuangalia nimekuta nimechaguliwa HV zimevuja au ni za Ukweli??????
Hivi andiko kama hili linaelewekaje? Halina kichwa wala mkia limekaa kama password kwa wachache. Andika kitu kieleweke ndivyo great thinkers tunavyotaka.Mie nimefanikiwa kuangalia nimekuta nimechaguliwa HV zimevuja au ni za Ukweli??????
Swali zurisa we ulitaka zivuje facebook au?
Vumilia kesho tuTCU website haifunguk wadau
Pasias mwanzaVp ivyo?
Sema chuo cha uhifadhi na usimamizi wa wanyama pori. SUA ni chuo cha kilimo