Matumizi ya vitu hivi viwili KATIKA kuremba nywele, huchanganya.
Ukweli ni huu.
Kazi ya Chanuo ni kuchana nywele, YAANI kutengenisha nywele kimakundi.
Kazi ya kitana ni kutana nywele neno kutana ni kukutanisha nywele pamoja katika mpangilio.
Hivyo basi kazi ya Chanuo ni kuchana nywele na kazi ya kitana ni kutana nywele.
Karibuni.