Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,446
Nimependa post yako mkuuHaya mambo yenu yanachanganya tu. Mwingine mara anadai waisrael ni weusi, wengine Israel taifa teule. Pambaf watu weusi!
Hayo ma vitu yenu huwa siyaamini. Ninachoamini Mungu yupo na amewapa neema wengine kama mtihani tu kama watashukuru au watakufuru. Kwa maneno mengine naweza ku-declare Israelis ni watu so intelligent na wana play part kubwa kwenye historia ya ulimwengu lakini hiyo haimaanishi wao ni bora kuliko wengine. Hiyo ni mitihani ya Mungu kwa wanaadamu.