Ukweli wa Kihisia dhidi ya wa Kifikra

Ukweli wa Kihisia dhidi ya wa Kifikra

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,609
Reaction score
1,738
Ndivyo ilivyo. Unaweza ukawa sahihi kabisa kifikra (rationally) lakini usiwe sahihi kihisia (emotionally). Mpenzi wako akikulaumu kwa kosa ambalo hujafanya ila kitendo ulichofanya (ambacho unajua kwa hakika si kosa) kimemuumiza basi jua yuko sahihi kihisia (emotionally correct) ila hayuko sahihi kifikra (rationally wrong).

Badala ya kulazimisha auone ukweli wa kifikra (rational) muache apoe. Kwa wakati huo kwake kilicho cha hakika (real) ni hicho cha kihisia (emotional). Ukiendelea kumbishia na kudai si kweli/hakika basi ujue unaharibu tu.

Tulia. Hisi. Fikiri.
 
hahaha ulikuwa emeenda fresh sana ila mwisho umebugi

thoughts---emotions---action
 
Mie penda hiyo fikil- hisi- tenda

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Utende nini? Put yourself in his/her (emotional) shoes. Kama kuna wakati wa kutotenda chochote ni huo.

Tulia. Hisi. Fikiri.
 
Mie penda hiyo fikil- hisi- tenda

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Inafanyikaje hiyo ilhali mwenzio hataki utende wala ufikiri (anachotaka ni uhisi kama anavyohisi)?
 
Utende nini? Put yourself in his/her (emotional) shoes. Kama kuna wakati wa kutotenda chochote ni huo.

Tulia. Hisi. Fikiri.

sasa wewe hiyo ya kujiweka kwenye shoes zake ni kitu tofauti...hiyo ni empathy kaka
 
ndio maana unatakiwa uweke 'rational truth' yako pembeni, na hii ndio maana ya 'empathy' as opposed to 'sympathy' au hujawahi kumsikia mtu aliye kwenye 'emotional truth' yake akisema 'i don't want your sympathy'?
 
mkuu tunai-complicate, ila ni-simple; tusibishane on a rational basis na emotion ya mtu hasa tuliyemuumiza unintentionally.
Kinachonishinda mimi ni kutenganisha hivyo vitu viwili, rational na emotion.
Utajuaje kama hapa mwenzi wako kinachosumbua ni kimoja kati ya hivyo?
Na utajuaje kama wewe hausumbuliwi na lolote kati ya hayo(kunapotokea hali ya kutoelewana) badala yake unahisi mwenzi wako ndio atakuwa anasumbuliwa na kimoja kati ya hivyo?
 
Ni vema ukamwambia uhalisia na sababu ya tendo lako kuwa sio kosa na suala la yeye kuamini au kutoamini lisiwe juu yako tena. Ni bora uchukiwe kwa uhalisia wako kuliko kupendwa kwa unafiki wako.
 
Hapo ndipo tunapokosea, kutaka kuonyesha kuwa tuko sahihi. Mwisho wake unabishana na mtu kutwa nzima. Kumbe tatizo sio kuwa hakuelewi kuwa uko sahihi ki-rationally. Tatizo ni wewe humuelewi kuwa naye yuko sahihi ki-emotionally.

PS. Rejea jibu langu kwa Ndibalema katika posti inayofuatia
 
Kinachonishinda mimi ni kutenganisha hivyo vitu viwili, rational na emotion.
Utajuaje kama hapa mwenzi wako kinachosumbua ni kimoja kati ya hivyo?
Na utajuaje kama wewe hausumbuliwi na lolote kati ya hayo(kunapotokea hali ya kutoelewana) badala yake unahisi mwenzi wako ndio atakuwa anasumbuliwa na kimoja kati ya hivyo?

Mkuu kuna mstari mwembamba sana (fine, thin line) kati ya hivyo vitu viwili. Mimi hapa naongelea nyakati ambazo una uhakika beyond any reasonable doubt kuwa uko sahihi rationally ila mwenzako analalamika na kuumia kihisia kwa ulichotenda na kuona ni kosa ama umemuonea. Badala ya kubishana naye au kujitetea wewe tulia tu, tambua hali yake - ikibidi omba msamaha, mpe pole na ugulia pamoja naye kihisia. Akishapoa kabisa yeye mwenyewe anaweza baadaye kuja na kukuambia you know what, you were right - I am sorry.
 
Thanks for the useful post mkuu.
Lakini inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kufanya kama ulivyosema.
Inabidi umeze mate machungu.
 
Mkuu kuna mstari mwembamba sana (fine, thin line) kati ya hivyo vitu viwili. Mimi hapa naongelea nyakati ambazo una uhakika beyond any reasonable doubt kuwa uko sahihi rationally ila mwenzako analalamika na kuumia kihisia kwa ulichotenda na kuona ni kosa ama umemuonea. Badala ya kubishana naye au kujitetea wewe tulia tu, tambua hali yake - ikibidi omba msamaha, mpe pole na ugulia pamoja naye kihisia. Akishapoa kabisa yeye mwenyewe anaweza baadaye kuja na kukuambia you know what, you were right - I am sorry.
You say this believing being rational is better than being emotional...
 
Back
Top Bottom